Mtumishi ‘adakwa’ akiondoka na dawa
Walinzi wawili wamemkamata mtumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Geita, kwa kile kinachodaiwa kuwa alikuwa akitorosha dawa alizochukua katika wodi za wagonjwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mmarekani adakwa na dawa za kulevya
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mtumishi adaiwa kuiba dawa hospitalini
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Adakwa na gramu 5,000 za dawa za kulevya Z’bar
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Mapaparazzi wakamnasa Mourinho kwenye hii video akiondoka uwanjani baada ya kufukuzwa kazi Chelsea
December 17 uongozi wa club ya soka ya Chelsea kupitia kwa mmiliki wake Roman Abramovich ulitangaza uamuzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho baada ya kuongoza Chelsea mechi 16 msimu huu, kufungwa tisa, kushinda nne na kutoa sare mechi tatu. Mourinho alipelekewa taarifa za kufutwa kwake kazi akiwa uwanjani akifanya mazoezi na timu ambapo Waandishi wa habari wasioacha tone la […]
The post Mapaparazzi wakamnasa Mourinho kwenye hii video akiondoka uwanjani baada ya kufukuzwa kazi Chelsea...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Video iliyodakwa na Sky News ya Mourinho akiondoka uwanja wa mazoezi wa Chelsea akiwa kaficha uso …
Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu hatma ya aliyekuwa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho kuendelea au kutoendelea kukiknoa kikosi hicho kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu, December 17 uongozi wa Chelsea kupitia kwa mmiliki wake Roman Abramovich ulitangaza uamuzi wa kumfuta kazi kocha huyo. Jose Mourinho alifutwa kazi baada ya kuongoza […]
The post Video iliyodakwa na Sky News ya Mourinho akiondoka uwanja wa mazoezi wa Chelsea akiwa kaficha uso … appeared first on...
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Vicky Kamata adakwa polisi
![Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Vicky-Kamata.jpg)
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata
MBUNGE wa Viti Maalumu, Vicky Kamatta (CCM), amekamtwa na Polisi Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kuwatumia ujumbe mfupi wa simu za matusi wabunge wenzake.
Chanzo ncha kuaminika kutoka mjini Dodoma kiliambia MTANZANIA kuwa kwa kipindi cha miezi kadhaa Vicky amekuwa akituma sms za matusi kwa wabunge wenzake wa viti maalumu kupitia CCM, Catherine Magige na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
Taarifa zaidi zinasema kuwa wabunge hao walikuwa...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Adakwa akienda kutupa kichanga!
Kichanga kilichotaka kutupwa na mama yake.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Wakati watu wengi wakisaka watoto kwa udi na uvumba, mama anayejulikana kwa jina la Ruth, mkazi wa Mbezi jijini Dar amenusurika kichapo kutoka kwa wananchi baada ya kumdaka akiwa kwenye harakati za kutaka kumtupa mtoto baada ya kujifungua.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio, siku ya tukio, Desemba 14, mwaka huu, majira ya saa 2 asubuhi, walimuona Ruth ambaye alikuwa mjamzito akilalamika kuwa tumbo...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Mliberia adakwa na Heroine JNIA
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Mwanamke Mtanzania adakwa na kilo 74 za unga