Rukwa wakamata bunduki 50, risasi 768
JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewakamata watuhumiwa 50 na silaha za aina mbalimbali zikiwemo bunduki 48 , risasi 768 na maganda ya risasi 101.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziPOLISI WAKAMATA BUNDUKI SMG, RISASI 59 PAMOJA NA WATUHUMIWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI JIJINI DAR.
Katika tukio la kwanza mnamo tarehe 03/06/2015 majira saa 08:00HRS maeneo ya Tabata Kinyerezi mtaa wa Kibaga askari wa kikosi kazi (TASK FORCE) walimkamata mtuhumiwa HEMED S/O...
10 years ago
MichuziTAARIFA: POLISI WAKAMATA BUNDUKI AINA YA SMG NA JUMLA YA RISASI 59 PAMOJA NA WATUHUMIWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI JIJINI DAR
Katika tukio la kwanza mnamo tarehe 03/06/2015 majira saa 08:00HRS maeneo ya Tabata Kinyerezi mtaa wa Kibaga askari wa kikosi kazi (TASK FORCE) walimkamata mtuhumiwa HEMED S/O...
10 years ago
VijimamboPOLISI WAKAMATA BUNDUKI AINA YA SMG NA JUMLA YA RISASI 59,PEMBE ZA NDOVU PAMOJA NA WATUHUMIWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI JIJINI DAR
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP), Simon Sirro Sirro akiwaonesha baahdhi ya waandishi wa habali hawapo pichani pembe za Ndovu zilizo kamatwa maeneo ya Kimara Suka katika oparesheni ukaguzi wa magari.Picha na Emmanuel Massaka.
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP), Simon Sirro akiwaonesha baadhi ya waandishi wa habari (hawapo pichan) Bunduki aina ya (SMG) iliyofutwa namba zake ikiwa na risasi 10.
Naibu Kamishna wa Jeshi la...
10 years ago
Habarileo23 Dec
Polisi Tabora wakamata bunduki 9 za kienyeji
JESHI la Polisi mkoani Tabora limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama katika msimu wa sikukuu za mwishoni mwa mwaka na kufanikiwa kukamata bunduki tisa za kienyeji aina ya gobori wilayani Nzega.
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Polisi Dar Wakamata Meno ya Tembo 156, Bunduki mbili
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akionesha baadhi ya vipande vya bunduki zilizokamatwa aina ya ‘RIFLE’ katika oparesheniiliyofanyika jana Temeke Sudan, Dar.Kamanda Kova akionesha baadhi ya vipande vya meno ya Tembo kwa wanahabari.… Kova akivishikilia vipinde hivyo.… Kova akivitoa kwenye magunia yaliyokuwa yamehifadhi vipande hivyo vya meno ya Tembo.Wanahabari wakichukua tukio hilo.Kamishna wa polisi, Suleiman Kova (kushoto) akiongea na wanahabari.Baadhi ya...
11 years ago
Habarileo13 Mar
Polisi yanasa bunduki ya kivita, risasi 399
WATU wawili wakazi wa Kijiji cha Kitagasembe wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha.
10 years ago
CloudsFM19 Jan
JAMBAZI AKUTWA NA MIFUPA YA BINADAMU BUNDUKI NA RISASI
Makamanda wa polisi wa mikoa mitatu ya simiyu, shinyanga na mwanza wamefanikiwa kuvunja mtandao hatari wa ujambazi uliokuwa unaongozwa na mfanyabiashara wa mjini bariadi Njile Samwel huku makachero wa jeshi hilo katika mikoa ya kanda ya ziwa pia wakikamata watuhumiwa watano, bunduki moja ya SMG, risasi 331 na mifupa inayodaiwa kuwa ya binadamu.Kamanda wa polisi mkoani mwanza, SACP Valentino Mlowola, akiwa ameambatana na kamanda Justus Kamugisha wa mkoa wa shinyanga pamoja na Charles Mkumbo...
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Bei ya petroli Dar Sh1,768
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA RUKWA AONGOZA SIKU YA SHERIA MKOANI RUKWA