Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura
Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV21 May
Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi Bujumbura.
Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura
Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.
Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandamanaji wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa awamu ya tatu.
Walioshuhudia wanasema kuwa polisi walimpiga mwandamanaji huyo risasi mgongoni wakiwa katika eneo la Musaga linalotazamwa kama ngome ya upinzani.
Waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Bujumbura lakini walitimuliwa kwa mabomu...
10 years ago
Mtanzania14 May
Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...
9 years ago
StarTV30 Oct
Mtu Mmoja mbaroni kwa kukutwa na Bastola 1, risasi 9
Polisi mkoani Tanga imemkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Bashiru Hamis maarufu kama Hazari mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Ilala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na Bastola 1 yenye namba C. 1193 na risasi 9 kwenye magazini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa katika kijiji cha Tengwe wakati akielekea kufanya uhalifu kwenye vituo vya mafuta vilivyopo katika mji wa Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane
10 years ago
BBCSwahili14 May
Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura
5 years ago
MichuziUVUTAJI WA TUMBAKU UNA ATHARI KIUCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA ANAYETUMIA
Na WAMJW-Dodoma
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata magonjwa yasiyoambukizwa kama tahadhari hazitachukuliwa mapema.
Waziri Ummy amesema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa matumizi ya tumbaku kwa watu wazima wa mwaka 2018 nchini uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Takwimu jijini Dodoma.
Waziri Ummy amesema utafiti huo umeonesha...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Apigwa risasi machimboni
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Mwanaharakati apigwa risasi Burundi
11 years ago
GPLMC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9