Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

Kumekuwa na mapigano usiku kucha Burundi ambako kulikuwa na jaribio la mapinduzi ya kutaka kumpindua rais Pierre Nkurunziza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

10 years ago

StarTV

Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi Bujumbura.

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandamanaji wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa awamu ya tatu.

Walioshuhudia wanasema kuwa polisi walimpiga mwandamanaji huyo risasi mgongoni wakiwa katika eneo la Musaga linalotazamwa kama ngome ya upinzani.

Waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Bujumbura lakini walitimuliwa kwa mabomu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 4 wameuawa usiku wa jana Bujumbura

Polisi wamesema watu wanne wameuawa usiku wa jana katika mashambulio yaliyotokea maeneo tofauti ya mji mkuu wa Bujumbura Burundi

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Mambo ya Nje yathibitisha kifo cha balozi wa Libya aliyejipiga risasi usiku wa kuamkia leo

bernard-membe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Membe.

Na Mwandishi wetu.

Balozi wa Libya nchini Mh. Ismail Nwairat amefariki dunia  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo baada ya kujipiga risasi ya kifuani upande wa kushoto akiwa ofisini kwake.

Taarifa iliyotolewa na  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilisema kuwa,  ilipokea taarifa kutoka kwenye Ubalozi huo kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya,  Ismail Nwairat amefariki dunia  kwa kujipiga risasi.

Hata...

 

5 years ago

CCM Blog

RC KAGERA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WATUMISHI WANNE NA WATENDAJI WENGINE 30 KUKAMATWA WILAYANI BIHARAMULO KWA UBADHILIFU WA SH. MILIO 307.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akizungumza na watendaji na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo katika kikaokazi ikiwemo kutoa maelekezo ya kukamatwa kwa watendaji kwa tuhuma za tubadhilifu wa fedha sh. milioni 307 za umma.

Na Allawi Kaboyo, Biharamulo.
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewaagiza Kamanda wa Polisi na Kamanda wa TAKUKURU mkoani Kagera kuwakamata watumishi 34 katika Halmashauri ya wilaya Biharamulo wakiwemo watendaji wa vijiji...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

KOMBE LA DUNIA: USIKU WA WANAUME, ENGLAND NA ITALY SAA SABA USIKU

AADA ya Fainali za Kombe la Dunia kuanza juzi kwa mchezo kati ya Brazil na Croatia, leo kuna mechi nyingine kali kati ya England na Italia. Huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka wanausubiri kwa hamu kubwa wakiamini pia utatumika kutoa majibu halisi ya fainali hizo zinazofanyika nchini Brazil.
England na Italia ni nchi ambazo ligi zake ni maarufu sana, huku zikiwa zinafuatiliwa kwa karibu sana na mashabiki wa soka duniani kote. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani