KOMBE LA DUNIA: USIKU WA WANAUME, ENGLAND NA ITALY SAA SABA USIKU

AADA ya Fainali za Kombe la Dunia kuanza juzi kwa mchezo kati ya Brazil na Croatia, leo kuna mechi nyingine kali kati ya England na Italia. Huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka wanausubiri kwa hamu kubwa wakiamini pia utatumika kutoa majibu halisi ya fainali hizo zinazofanyika nchini Brazil. England na Italia ni nchi ambazo ligi zake ni maarufu sana, huku zikiwa zinafuatiliwa kwa karibu sana na mashabiki wa soka duniani kote. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
SHAKIRA, WYCLEF JEAN KUIPAMBA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LEO USIKU
10 years ago
Michuzi
KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU
