Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU

Msimu wa Pili wa Kwetu House Unaendelea washiriki wanaendelea kuchuana vikali ndani ya Nyumba, Vipajivinaonekana na Ushabiki wa Soka wanaonekana pia. Kama unakumbuka Washiriki waliobahatika kuingia kwenye Nyumba walikuwa 30 baada ya Bootcamp kumalizika na Baada ya hapo Washiriki wameendelea kuyaaga mashindano haya kwa msimu huu wa pili na Wiki hii washiriki 18 ndio wamebaki kwenye Nyumba lakini 6 kati ya hao 18 watayaaga mashindano usiku huu. Kocha ananafasi ya kumuokoa Mshiriki Moja kurudi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AZAM TV YAZINDUA MSIMU WA PILI WA ‘KWETU HOUSE’

Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Azam TV,  Rhys Torrington, akielezea namna zoezi la kutafuta washindi 20 watakaoingia kwenye mjengo wa Kwetu House kwa mwaka huu kwenye uzinduzi huo ambao umefanyika ndani ya ofisi hizo zilizopo Tazara jijini Dar es Salaam. Meza kuu ya mkutano huo ikisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari. Mkuu wa Kipindi cha…

 

10 years ago

Vijimambo

Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akiongelea Kwetu House







Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akitoa Wito Kwa Watu Wengi Kujitokeza Na Faida Watakazopata Baada Ya Kushiriki Shindano La Kwetu House 2015

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI 20 WAFANYIWA MCHUJO SHINDANO LA 'KWETU HOUSE'

Washiriki wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Washiriki wakiwa kwenye picha ya pozi leo jioni.
Mmoja wa washiriki akirekodiwa na paparazi wetu, Richard Bukos.…

 

11 years ago

Michuzi

AZAMTV YAJA NA KWETU HOUSE (search for the Ultimate Fun)

AzamTV leo wamezindua mashindano yatakayowahusisha wapenzi wa kandanda yatakayojulikana kama KWETU HOUSE.  Mashindano haya  ambayo ni mara ya kwanza Tanzania yatashirikisha wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu ambapo  watu kumi wa 10 wa timu mbalimbali watachaguliwa na kuishi katika nyumba moja kwa muda wa siku 3 wakionyesha ni jinsi gani wao ni mashabiki namba mmoja kwa timu zao .
Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la...

 

11 years ago

Dewji Blog

AzamTV yaja na Kwetu House (search for the Ultimate Fun) kwa mashabiki wa Soka nchini

kwetu house

AzamTV  wamezindua mashindano yatakayowahusisha wapenzi wa kandanda yatakayojulikana kama KWETU HOUSE.  Mashindano haya  ambayo ni mara ya kwanza Tanzania yatashirikisha wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu ambapo  watu kumi wa 10 wa timu mbalimbali watachaguliwa na kuishi katika nyumba moja kwa muda wa siku 3 wakionyesha ni jinsi gani wao ni mashabiki namba mmoja kwa timu zao .

Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

10 years ago

Michuzi

KWETU HOUSE 2015 MSIMU WA PILI YATUA JIJINI MWANZA KUSAKA VIPAJI KWA MASHABIKI WA SOKA, MSHINDI KULAMBA MILIONI 15

Msimu wa pili wa Kwetu House - “kwetu house, kipaji zaidi ya soka” hili shindano ambalo hujumuisha zaidi wapenzi wa soka wenye Kipaji, jumla ya mikoa mitano (Arusha, Zanzibar, Dodoma, Mbeya na Mwanza) kutoa washiriki zaidi kwa ajili ya kunogesha na kuleta upinzani wa kutosha msimu huu mshindi ataondoka na kitita cha shilingi milioni 15, tofauti na msimu uliopita ambao ilikuwa Sh milioni 10.
Baada ya Kwetu House kusaka Shabiki mwenye Kipaji Kwenye Mikoa ya Arusha, Zanzibar,Dodoma na Mbeya...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Hamlashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma Convition Centre.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani