Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Hamlashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma Convition Centre.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa Urais kwa kupitia CCM.

 

10 years ago

GPL

URAIS CCM: JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO KUCHAGUA TATU BORA WATAKAOPELEKWA MKUTANO MKUU

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wajumbe baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, leo katika Ukumbi wa jengo la White House mjini Dodoma. Kikao hicho ni cha kuchagua wagombea watatu kati ya watano waliopitishwa na Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM kwa ajili ya kuwania kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Watatu watakaopatikana leo, watapelekwa kuigiwa kura katika Mkutano Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA CCM DODOMA USIKU HUU: USIRI WATAWALA TANO BORA YA WAGOMEA WA CCM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari usiku huu nje ya ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokaa kupitisha majina matano ya wagombea Urais yatakayopelekwa kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM kujadiliawa hapo saa nne asubuhi. Nape hakutaja majina ya wagomea hao waliopita kwenye tano bora, kwa kuseka atataja asuhuhi. Muda mfupi baada ya Katibu wa NEC,...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO KUCHAGUA TATU BORA WATAKAOPELEKWA MKUTANO MKUU

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wajumbe baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, leo katika Ukumbi wa jengo la White House mjini Dodoma. Kikao hicho ni cha kuchagua wagombea watatu kati ya watano waliopitishwa na Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM kwa ajili ya kuwania kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Watatu watakaopatikana leo, watapelekwa kuigiwa kura katika Mkutano Mkuu wa CCM ili kupata mgombea mmoja atakayepeperusha bendera ya CCM katika...

 

10 years ago

GPL

TATU BORA ILIYOPITISHWA NA NEC

KIKAO cha  Halmashauri Kuu YA Taifa (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa Mkutano Mkuu WA Taifa ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015. 

 

9 years ago

Michuzi

KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU

Msimu wa Pili wa Kwetu House Unaendelea washiriki wanaendelea kuchuana vikali ndani ya Nyumba, Vipajivinaonekana na Ushabiki wa Soka wanaonekana pia. Kama unakumbuka Washiriki waliobahatika kuingia kwenye Nyumba walikuwa 30 baada ya Bootcamp kumalizika na Baada ya hapo Washiriki wameendelea kuyaaga mashindano haya kwa msimu huu wa pili na Wiki hii washiriki 18 ndio wamebaki kwenye Nyumba lakini 6 kati ya hao 18 watayaaga mashindano usiku huu. Kocha ananafasi ya kumuokoa Mshiriki Moja kurudi...

 

10 years ago

Vijimambo

URAIS CCM: TANO NA TATU BORA KUPATIKANA LEO


Baadhi ya waandishi wa habari waliopo mjini Dodoma, wakiirusha taarifa hiyo baada ya kuipata, leo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ametoa ratiba ya Vikao kwa siku ya leo tarehe 10/7/2015.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Nape amesema, kuanzia Saa 4 hadi saa 7 mchana, kitafanyika kikao cha Usalama na Maadili chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.

Amesema kuanzia Saa 8 hadi saa12 Jioni ni Kikao cha Kamati Kuu kitakachopitisha majina matano ya wagombea walioomba ridhaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani