Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa Urais kwa kupitia CCM.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Hamlashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma Convition Centre.

 

10 years ago

GPL

URAIS CCM: JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO KUCHAGUA TATU BORA WATAKAOPELEKWA MKUTANO MKUU

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wajumbe baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, leo katika Ukumbi wa jengo la White House mjini Dodoma. Kikao hicho ni cha kuchagua wagombea watatu kati ya watano waliopitishwa na Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM kwa ajili ya kuwania kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Watatu watakaopatikana leo, watapelekwa kuigiwa kura katika Mkutano Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa  Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.  Maafisa wa Jeshi la Magereza wenye vyeo mbalimbali ambao ni Wanachama wa TPS SACCOS Ltd kutoka Mikoa yote Tanzania Bara wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA CCM WAAHIRISHWA HADI KESHO SAA 4 ASUBUHI

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete ameahirisha kikao cha Mkutano Mkuu wa CCM hadi kesho saa 4 asubuhi baada ya zoezi la wajumbe kupiga kura kumchagua mgombea mmoja wa urais kukamilika. Zoezi linaloendelea ni kuhesabu kura hizo.

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAANZA LEO JIJINI DAR

Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014. Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye ufunguzi wa Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo leo Feb 26.2014,katika Ukumbi wa J.K Nyerere,jijini Dar es Salaam. Wakurugenzi wa idara mbalimbali za mfuko wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinti, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014.   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa...

 

9 years ago

Michuzi

KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU

Msimu wa Pili wa Kwetu House Unaendelea washiriki wanaendelea kuchuana vikali ndani ya Nyumba, Vipajivinaonekana na Ushabiki wa Soka wanaonekana pia. Kama unakumbuka Washiriki waliobahatika kuingia kwenye Nyumba walikuwa 30 baada ya Bootcamp kumalizika na Baada ya hapo Washiriki wameendelea kuyaaga mashindano haya kwa msimu huu wa pili na Wiki hii washiriki 18 ndio wamebaki kwenye Nyumba lakini 6 kati ya hao 18 watayaaga mashindano usiku huu. Kocha ananafasi ya kumuokoa Mshiriki Moja kurudi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani