Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI MKUU WA PSPF NDANI YA MBONI SHOW LEO SAA TATU USIKU

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa Urais kwa kupitia CCM.

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinti, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014.   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAANZA LEO JIJINI DAR

Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014. Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye ufunguzi wa Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo leo Feb 26.2014,katika Ukumbi wa J.K Nyerere,jijini Dar es Salaam. Wakurugenzi wa idara mbalimbali za mfuko wa...

 

9 years ago

Vijimambo

Flaviana Matata ndani ya The Mboni Show

Mwanamitindo wakimataifa Flaviana Matata ambaye anafanyia shughuli zake nchini Marekani , leo alikuwa kwenye kipindi cha Runinga cha The Mboni Show kama mgeni mwalikwa akiiwakilisha PSPF akiwa mmoja wa Balozi wa PSPF akiwakilisha DIASPORA.Akiwa kwenye kipindi hicho sambamba na mwanadada Mboni Masimba alizungumzia masuala mbalimbali ikiwepo maisha ,familia sambamba na kazi zake kama balozi wa PSPF ndani na nje ya nchi.PSPF ni wadhamini wa kuu wa The Mboni Show .aflaviana matata akihojiwa na thembonishow-10flaviana matata akihojiwa na thembonishow flaviana matata akihojiwa na thembonishow-2 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-3 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-9 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-6 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-7
flaviana matata akihojiwa na thembonishow-18mara baada ya show...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Hamlashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma Convition Centre.

 

10 years ago

Dewji Blog

THE MBONI SHOW yaanza kuunguruma January 2 ndani ya TBC

IMG_6576

 

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika  ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake ‘The Mboni Show’ kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti Simpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.

Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

THE MBONI SHOW KUANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika  ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake 'The Mboni Show' kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti MC Zimpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani