Flaviana Matata ndani ya The Mboni Show
Mwanamitindo wakimataifa Flaviana Matata ambaye anafanyia shughuli zake nchini Marekani , leo alikuwa kwenye kipindi cha Runinga cha The Mboni Show kama mgeni mwalikwa akiiwakilisha PSPF akiwa mmoja wa Balozi wa PSPF akiwakilisha DIASPORA.Akiwa kwenye kipindi hicho sambamba na mwanadada Mboni Masimba alizungumzia masuala mbalimbali ikiwepo maisha ,familia sambamba na kazi zake kama balozi wa PSPF ndani na nje ya nchi.PSPF ni wadhamini wa kuu wa The Mboni Show .a
mara baada ya show...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Aug
FLAVIANA MATATA SENDOFF NDANI YA PANDE ZA SHINYANGA

CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’













MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA


naturalista hadi siku ya harusi




MADAMEEE DIANA AKITUMIKA








TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show



10 years ago
Michuzi12 Aug
SUPER MODEL FLAVIANA MATATA'S SEND OFF PARTY NDANI YA SHINYANGA

CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imedhaminiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’


10 years ago
Michuzi11 Dec
RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI
10 years ago
Michuzi
THE MBONI SHOW KUANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC


10 years ago
Dewji Blog30 Dec
THE MBONI SHOW yaanza kuunguruma January 2 ndani ya TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake ‘The Mboni Show’ kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti Simpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.

Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa...
10 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi24 Oct
FLAVIANA MATATA FOR THE GLAMOURAI MAGAZINE




