Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAKIRA, WYCLEF JEAN KUIPAMBA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LEO USIKU

Shakira atapanda sejini kuimba wimbo wa "La la la (Brazil 2014)". WANAMUZIKI Shakira na Wyclef Jean, usiku wa leo wataongoza burudani katika fainali za Kombe la Dunia 2014 kati ya Ujerumani na Argentina. Staa wa Hip Hop kutoka Haiti, Wyclef Jean naye atakuwepo kutoa kburudani usiku huu. Mastaa wengine watakaoangusha burudani usiku wa leo ni pamoja na mpiga gitaa mahiri wa Mexico,… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Shakira, Wycleif Jean na Carlos Santana kutumbuiza kwenye fainali ya kombe la dunia

Muimbaji mrembo mwenye asili ya Colombia, Shakira atatumbuiza kabla ya mechi ya fainali ya kombe la dunia itakayofanyika Rio de Janeiro,Brazil, July 13. Wengine watakaotumbuiza siku hiyo ni mcheza gitaa maarufu Carlos Santana na rapper Wyclef Jean. Shirikisho la soka duniani, FIFA limesema Shakira, ambaye atatumbuiza kwa mara ya tatu mfululizo kwenye fainali za kombe […]

 

11 years ago

GPL

ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KUANZA LEO

Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior ' Neymar '. John Joseph na mtandao NJIA ya kuelekea kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2014 inachongwa leo Ijumaa na kesho Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi nne za robo fainali.…

 

10 years ago

Bongo5

Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii

Member wa kundi la miaka ya 90 Fugees, Wyclef Jean anatarajiwa kuwa nchini Kenya weekend hii, ambapo atatumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wengine wa Africa akiwemo Shaa kutoka Tanzania, katika fainali za msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Wasanii wengine wa Afrika watakaotumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Chidinma wa Nigeria, Navio […]

 

11 years ago

Michuzi

goli la penati dhidi ya mexico yaipeleka uholanzi robo fainali kombe la dunia brazil leo

Kocha wa Uholanzi Louis van Gallakimpongeza Arjen Robben kwa kufanyiwa rafu iliyozaa penati na hatimaye bao la ushindi dhidi ya Mexico leo
Na Sultani Kipingo

wa Globu ya Jamii

Yaani huko Old Trafford katika  klabu ya Manchester United nchini Uingereza atakoenda kufundisha msimu ujao tayari waliishaanza kuandaa ofisi ya meneja wao mpya Louis van Gall anayeifundisha timu ya Uholanzi katika kombe la dunia, baada ya kuhisiwa kuwa ataaga mashindani hayo Jumapili hii walipocheza na...

 

11 years ago

GPL

KOMBE LA DUNIA: USIKU WA WANAUME, ENGLAND NA ITALY SAA SABA USIKU

AADA ya Fainali za Kombe la Dunia kuanza juzi kwa mchezo kati ya Brazil na Croatia, leo kuna mechi nyingine kali kati ya England na Italia. Huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka wanausubiri kwa hamu kubwa wakiamini pia utatumika kutoa majibu halisi ya fainali hizo zinazofanyika nchini Brazil.
England na Italia ni nchi ambazo ligi zake ni maarufu sana, huku zikiwa zinafuatiliwa kwa karibu sana na mashabiki wa soka duniani kote. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani