Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shakira, Wycleif Jean na Carlos Santana kutumbuiza kwenye fainali ya kombe la dunia

Muimbaji mrembo mwenye asili ya Colombia, Shakira atatumbuiza kabla ya mechi ya fainali ya kombe la dunia itakayofanyika Rio de Janeiro,Brazil, July 13. Wengine watakaotumbuiza siku hiyo ni mcheza gitaa maarufu Carlos Santana na rapper Wyclef Jean. Shirikisho la soka duniani, FIFA limesema Shakira, ambaye atatumbuiza kwa mara ya tatu mfululizo kwenye fainali za kombe […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHAKIRA, WYCLEF JEAN KUIPAMBA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LEO USIKU

Shakira atapanda sejini kuimba wimbo wa "La la la (Brazil 2014)". WANAMUZIKI Shakira na Wyclef Jean, usiku wa leo wataongoza burudani katika fainali za Kombe la Dunia 2014 kati ya Ujerumani na Argentina. Staa wa Hip Hop kutoka Haiti, Wyclef Jean naye atakuwepo kutoa kburudani usiku huu. Mastaa wengine watakaoangusha burudani usiku wa leo ni pamoja na mpiga gitaa mahiri wa Mexico,… ...

 

10 years ago

Bongo5

Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa

Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa. Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho. Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia. “Wyclef…Dreams do come […]

 

10 years ago

Bongo5

Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii

Member wa kundi la miaka ya 90 Fugees, Wyclef Jean anatarajiwa kuwa nchini Kenya weekend hii, ambapo atatumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wengine wa Africa akiwemo Shaa kutoka Tanzania, katika fainali za msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Wasanii wengine wa Afrika watakaotumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Chidinma wa Nigeria, Navio […]

 

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria kutumbuiza kwenye fainali za BSS Oct 9, mfahamu hapa

Msanii wa Nigeria, Runtown ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye fainali za shindano la Bongo Star Search, imefahamika. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production na ambaye pia ni jaji mkuu wa shindano hilo, Rita Paulsen alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki kwenye Instagram Jumatano hii. Madam Rita amedai kuwa pamoja na Runtown […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Barcelona fainali Kombe la dunia la Vilabu

Mshambuliaji Luis Suarez ameipeleka timu yake ya Barcelona, katika hatua ya fainali ya kombe la dunia la vilabu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kucheza fainali Kombe la Dunia

Marekani imekata tiketi kucheza fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibwaga Ujerumani 2-0 katika mchezo wa nusu fainali

 

11 years ago

Mwananchi

Costa hatarini kukosa fainali za Kombe la Dunia

Costa alicheza kwa dakika tisa mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa sababu ya kusumbuliwa na misuli.

 

11 years ago

GPL

ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KUANZA LEO

Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior ' Neymar '. John Joseph na mtandao NJIA ya kuelekea kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2014 inachongwa leo Ijumaa na kesho Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi nne za robo fainali.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani