Barcelona fainali Kombe la dunia la Vilabu
Mshambuliaji Luis Suarez ameipeleka timu yake ya Barcelona, katika hatua ya fainali ya kombe la dunia la vilabu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Kombe la dunia la vilabu, TP Mazembe yaanza vibaya kwa kipigo
Kiungo Roger Assale wa TP Mazembe akionyesha ufundi wake kwa Toshihiro Aoyama wa timu ya Sanfrecce Hiroshima katika viwanja vya Osaka Nagai jana December 13, 2015 wakati wa mchezo wa robo fainali wa Mashindano ya Klabu Bingwa ya Dunia uliofanyika jijini Osaka, Japan.(Picha na Kaz Photography/Getty Images AsiaPac).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Timu pekee inayowakilisha Afrika katika kombe la dunia la vilabu 2015 linalofanyika nchini Japan, TP Mazembe ya Congo DRC, imeanza vibaya Mashindano ya...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan
YOKOHAMA, JAPAN
KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.
Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.
Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.
Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Marekani kucheza fainali Kombe la Dunia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGb-H5HwK1zta5Dj4AjPUMcq1s6l7siMwg8rRl09kINAL0pLpehxZ9YakrD6PwFsycqHalKMdSpni-KieTEJcL6m/kombeladunia.gif?width=650)
ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KUANZA LEO
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil
MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Owens kusimamia fainali Kombe la Dunia la Raga
11 years ago
Mwananchi26 May
Costa hatarini kukosa fainali za Kombe la Dunia
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil