Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan
YOKOHAMA, JAPAN
KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.
Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.
Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bsue-*vlnnZN8TdSLTh3okErCf67K6DS-S7r45DnuEXbA9WFIh8zsSh5xpFt4xgACy4*dVXHppFAgug5uijXP4e93n1UPoc5/pique.jpg?width=650)
BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Tanzania watwaa Kombe la Dunia
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Barcelona fainali Kombe la dunia la Vilabu
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.
Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...
9 years ago
Bongo514 Dec
Kombe la dunia la Klabu: Sanfrecce Hiroshima ya Japan yazima matumaini ya TP Mazembe
![_87185831_gettyimages-501182938](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/87185831_gettyimages-501182938-300x194.jpg)
Matumaini ya TP Mazembe kufika kwenye fainali za kombe la dunia la klabu yamezimwa jana baada ya mabingwa hao wa Afrika kufungwa mabao 3-0 na Sanfrecce Hiroshima ya Japan.
Mchezo huo ulipigwa kwenye uwanja wa Yanmar wa mjini Osaka, Japan.
Magoli hayo yalifungwa na Tsukasa Shiotani, Kazuhiko Chiba na Takuma Asano.
Kikosi cha Mazembe kilikuwa kikiundwa na wachezaji wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Mali, Zambia, Tanzania, Ghana na mchezaji mmoja tu kutoka DR Congo.
Thomas Ulimwengu na...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
VPO wafanya bonanza la kumuaga Makamu wa Rais Mstaafu, watwaa kombe
![](http://4.bp.blogspot.com/-w4mcxdTYo4A/Vlre_47vlUI/AAAAAAACmPE/3SUgNJXWUig/s640/02.jpg)
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya VPO Sports Club, Nehemia Mandia, baada ya kuibuka na ushindi katika Bonanza maalum la kumuaga Dkt. Bilal, lililofanyika Nov 28, 2015 kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. VPO waliibuka kidedea baada ya kuwafunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa mikwaju ya penati 5-4.
![](http://2.bp.blogspot.com/-n3ia9HlToBE/VlrfDgb-FkI/AAAAAAACmPM/vZe9U1gTGf8/s640/03..jpg)
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
StarTV18 Aug
BARCELONA YA LIONEL MESSI YAPOTEZA KOMBE LA KWANZA MSIMU HUU….
![2B72BF8600000578-3201312-image-a-9_1439846291599](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/2B72BF8600000578-3201312-image-a-9_1439846291599.jpg)
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Japan yajutia vita vya dunia
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wanakijiji Japan waitikisa dunia kwa uvuvi wa pomboo
POMBOO ni mmoja wa samaki wapole wa baharini ambao wanapendwa sana na binadamu. Anahesabika kati ya wanyama wenye akili nyingi kwani ana uwezo wa kujifunza mambo na kuyakariri. Pia ana...