Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.
Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Real Madrid yatwaa Kombe la Dunia la klabu
RABAT, MOROCCO
TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Dunia la klabu, baada ya kuifunga San Lorenzo ya Argentina mabao 2-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Marrakesh, Morocco usiku wa kuamkia jana.
Ubingwa huo umeifanya Real Madrid kuwa na mwaka mzuri kihistoria kwani imechukua taji la nne mwaka huu, likiwemo hilo ambalo imelitwaa kwa mara ya kwanza.
Baadhi ya mataji mengine ambayo Madrid imefanikiwa kutwaa mwaka huu ni yale ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Mfalme (Copa...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Video na pichaz za ushindi wa FC Barcelona fainali ya klabu Bingwa Dunia, Messi na Suarez waingia nyavuni …
Michuano ya klabu Bingwa Dunia imeendelea tena kwa mchezo wa fainali kupigwa katika uwanja wa Nissan, mchezo wa fainali ya klabu Bingwa Dunia umepigwa kwa kuzikutanisha timu mbili klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambaye ni muwakilishi wa bara la Ulaya katika michuano hiyo dhidi ya klabu ya River Plate kutoka bara la America. Huu […]
The post Video na pichaz za ushindi wa FC Barcelona fainali ya klabu Bingwa Dunia, Messi na Suarez waingia nyavuni … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video)
Baada ya klabu ya TP Mazembe inayochezewa na washambuliaji wa wawili wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kutolewa katika mashindano ya klabu Bingwa Dunia katika hatua ya robo fainali dhidi ya Sanfrecce kwa goli 3-0, December 17 ilikuwa ni zamu ya Mabingwa wa Ulaya FC Barcelona kutupa karata yao katika hatua ya nusu fainali. […]
The post Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video) appeared first on...
10 years ago
StarTV04 Nov
Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika
Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Barcelona ndio klabu bingwa 2015
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Klabu bingwa ya dunia ni Raja au Bayern?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmaORCaPHcjTv8XcxkjJysyB2az*X*fYkLlqefv*1I6qBed-Gfu68rGjbGwyknfJ6K8Ylsl6N6rkfm3TBlMSvWVL/watotowamitaani.jpg?width=650)
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Barcelona fainali Kombe la dunia la Vilabu
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan
YOKOHAMA, JAPAN
KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.
Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.
Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...