Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika
Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo503 Nov
Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika
11 years ago
BBCSwahili02 Nov
Setif Entete ndio kilabu bingwa Afrika
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.
Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...
10 years ago
StarTV09 Feb
Ivory Coast yatwaa ubingwa wa Afrika
vory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 – 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
cialis nitratoMlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho
11 years ago
BBCSwahili29 Sep
TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika
10 years ago
Vijimambo01 Mar
AZAM YATOLEWA KUWANIA KUFUZU KLABU BINGWA AFRIKA

10 years ago
Bongo505 Oct
Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika