AZAM YATOLEWA KUWANIA KUFUZU KLABU BINGWA AFRIKA
KLABU ya Azam imeungana na wenzao wa KMKM ya Zanzibar kuaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya usiku huu kunyukwa mabao 3-0 na El Merreikh ya Sudan na hivyo kutolewa kwa jumla a mabao 3-2.Azam walienda Sudan wakiwa na hazina ya mabao 2-0 iliyopata katika mechi ya mkondo wa kwanza wiki mbili zilizopita, lakini wenyeji walitumia nafasi ya kucheza nyumbani kunadili matokea kama kocha wao alivyoatamba mapema na Azam kuaga mashindano. El Merreikh walikosa pia penati baada ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-COFMdJTJb1U/UxzFjb83EaI/AAAAAAAFSe0/q03KNYsjims/s72-c/MMG25630.jpg)
News Flash: Yanga yatolewa kiume mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,yafungwa na Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3
![](http://1.bp.blogspot.com/-COFMdJTJb1U/UxzFjb83EaI/AAAAAAAFSe0/q03KNYsjims/s1600/MMG25630.jpg)
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika
10 years ago
Bongo503 Nov
Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika
10 years ago
StarTV04 Nov
Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika
Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...
9 years ago
Bongo505 Oct
Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JWe3dXBN65E/VhLd6bFjPHI/AAAAAAADAVk/PV432man6d0/s72-c/121.jpg)
IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Klabu bingwa barani Ulaya