Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika

TP Mazembe wameweka mkono mmoja kwenye kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kushinda mkondo wa kwanza wa fainali dhidi ya USM Alger ya Algeria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBC

USM Alger ready for Mazembe test

USM Alger are determined not to be overawed by TP Mazembe in Saturday's Champions League final first leg.

 

10 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika

Entente Setif sasa itapambana na AS Vita Club katika fainali ya Klabu Bigwa barani Afrika baada ya kuiondoa TP Mazembe

 

9 years ago

Bongo5

Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika

Klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC, imefanikiwa kuingia hatua ya fainali ya klabu bingwa barani Afrika na itakutana na klabu ya Algeria USM Alger. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta jana alifanikiwa kupiga mabao mawili na uwanja mzima ulikuwa ukimshangilia kwa kuimba jina la mchezaji huyo. Naye Roger Assale alifunga goli moja na […]

 

9 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe yachapwa 3 - 0 Klabu Bingwa Duniani

Wawakilishi wa Afrika katika michuano ya kombe la dunia la vilabu timu ya Tp Mazembe imechapwa na wenyeji wa michuano hiyo timu ya Sanfrecce Hiroshima 3-0.

 

9 years ago

BBC

USM & Mazembe favourites to progress

USM Alger and TP Mazembe are favourites to African Champions League final after this weekend's semi-final second legs.

 

10 years ago

StarTV

Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika

Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.

 
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.

 
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...

 

10 years ago

Bongo5

Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika

Klabu Entente Satif ya Algeria kwa mara ya kwanza katika miaka 26 imekuwa klabu bingwa barani Afrika baada ya kuishinda timu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya Jumamosi. Round ya kwanza ya mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Mustapha Tchakerwalitoka […]

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM YATOLEWA KUWANIA KUFUZU KLABU BINGWA AFRIKA

azam sudan 3KLABU ya Azam imeungana na wenzao wa KMKM ya Zanzibar kuaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya usiku huu kunyukwa mabao 3-0 na El Merreikh ya Sudan na hivyo kutolewa kwa jumla a mabao 3-2.Azam walienda Sudan wakiwa na hazina ya mabao 2-0 iliyopata katika mechi ya mkondo wa kwanza wiki mbili zilizopita, lakini wenyeji walitumia nafasi ya kucheza nyumbani kunadili matokea kama kocha wao alivyoatamba mapema na Azam kuaga mashindano. El Merreikh walikosa pia penati baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

News Flash: Yanga yatolewa kiume mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,yafungwa na Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3

Timu ya Yanga imetolewa kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kufungwa na Timu ya Al Ahly ya Misri kwa Mikwaju ya penalati 4-3.Hatua hiyo ya penati ilikuwa baada ya Yanga kufungwa bao 1 katika dakika 90 ya mchezo wao uliomalizika usiku huu huko mjini Alexandria. Katika Mchezo wa awali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Yanga ilishinda bao 1 - 0.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani