Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika
Klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC, imefanikiwa kuingia hatua ya fainali ya klabu bingwa barani Afrika na itakutana na klabu ya Algeria USM Alger. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta jana alifanikiwa kupiga mabao mawili na uwanja mzima ulikuwa ukimshangilia kwa kuimba jina la mchezaji huyo. Naye Roger Assale alifunga goli moja na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-N-u2QAIdMZ8/VUjHq4X_dxI/AAAAAAAHVgY/AtbtGosrcho/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Bongo503 Nov
Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]
The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video)
Baada ya klabu ya TP Mazembe inayochezewa na washambuliaji wa wawili wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kutolewa katika mashindano ya klabu Bingwa Dunia katika hatua ya robo fainali dhidi ya Sanfrecce kwa goli 3-0, December 17 ilikuwa ni zamu ya Mabingwa wa Ulaya FC Barcelona kutupa karata yao katika hatua ya nusu fainali. […]
The post Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video) appeared first on...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-COFMdJTJb1U/UxzFjb83EaI/AAAAAAAFSe0/q03KNYsjims/s72-c/MMG25630.jpg)
News Flash: Yanga yatolewa kiume mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,yafungwa na Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3
![](http://1.bp.blogspot.com/-COFMdJTJb1U/UxzFjb83EaI/AAAAAAAFSe0/q03KNYsjims/s1600/MMG25630.jpg)
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kutana na dakika 15 za safari ya Mbwana Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta, yupo kwenye headlines kwa sasa baada ya dili lake la kwenda kucheza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kuwa katika nafasi kutokana na kuwa tayari ameshasaini mkataba wa awali. Huenda ukwa umemfahamu Mbwana Samatta […]
The post Kutana na dakika 15 za safari ya Mbwana Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji appeared first on...