Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Oct
Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kutana na dakika 15 za safari ya Mbwana Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta, yupo kwenye headlines kwa sasa baada ya dili lake la kwenda kucheza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kuwa katika nafasi kutokana na kuwa tayari ameshasaini mkataba wa awali. Huenda ukwa umemfahamu Mbwana Samatta […]
The post Kutana na dakika 15 za safari ya Mbwana Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji appeared first on...
9 years ago
Bongo509 Nov
Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika
![Mbwana](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mbwana-300x194.jpg)
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.
Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.
Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...
9 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
9 years ago
Michuzi05 Jan
Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
![](http://tff.or.tz/images/Samatta.png)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMqXIZ*72e-KIr-FtBY09gPsxOWJeFrQYbXuRUa9l32HB1FDg3YM9bSyT1VQ-kDhGzQ2hsFFjfBQVQIBXVM0KNU3/samata.gif?width=650)
Mbwana Samatta amtaja aliyeimaliza Stars
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Marsh Academy yawapongeza Mbwana Samatta, Ulimwengu
KITUO cha kuibua na kukuza vipaji vya vijana wadogo cha Marsh Soccer Academy cha jijini Mwanza, kimewapongeza wachezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa kuonyesha moyo...
11 years ago
Michuzi12 May