Marsh Academy yawapongeza Mbwana Samatta, Ulimwengu
KITUO cha kuibua na kukuza vipaji vya vijana wadogo cha Marsh Soccer Academy cha jijini Mwanza, kimewapongeza wachezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa kuonyesha moyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 May
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Alliance, Marsh Academy zapongezwa Nyamagana
CHAMA cha Soka Wilaya ya Nyamagana (MBF) cha jijini Mwanza, kimezipongeza timu za Alliance Academy na Marsh Academy kujitwalia tiketi ya Ligi ya Mkoa baada ya kushika nafasi mbili za...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Alliance, Marsh Academy zachuana Mwanza
TIMU ya soka ya Alliance Academy ya Nyamagana jijini Mwanza, imejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza Ligi ya Mkoa kutokana na kuwa kinara katika kundi lake lenye timu nane ikiwa...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Marsh Academy yachanua Daraja la Nne Nyamagana
TIMU ya soka ya Marsh Accademy, hivi karibuni ilivuna ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Alliance Academy katika mechi iliyokuwa na ushindani ya Ligi Daraja la Nne Ngazi ya Wilaya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMqXIZ*72e-KIr-FtBY09gPsxOWJeFrQYbXuRUa9l32HB1FDg3YM9bSyT1VQ-kDhGzQ2hsFFjfBQVQIBXVM0KNU3/samata.gif?width=650)
Mbwana Samatta amtaja aliyeimaliza Stars
9 years ago
Bongo515 Dec
Mbwana Samatta aingia orodha ya 3 bora ya CAF
![samatta3-e1437380737934](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/samatta3-e1437380737934-300x194.jpg)
Mshambuliaji wa Taifa Stars ya Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Samatta ametangazwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza soka barani Afrika.
Samatta anashindana na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert Kidiaba.
Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.
CAF...
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...
5 years ago
Sports Mole04 Apr
Galatasaray interested in Aston Villa striker Mbwana Samatta?