Mbwana Samatta aingia orodha ya 3 bora ya CAF
Mshambuliaji wa Taifa Stars ya Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Samatta ametangazwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza soka barani Afrika.
Samatta anashindana na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert Kidiaba.
Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.
CAF...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Samatta katika orodha ya 3 bora ya CAF
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Video ya dakika 10 ya Mbwana Samatta akichukua baraka za waziri wa michezo Nape Nnauye kuelekea Tuzo za CAF
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta aliomba kuonana na waziri wa habari, vijana, wasanii na michezo Mh Nape Nnauye ili kuomba baraka za kuelekea Abuja Nigeria January 7 katika kilele cha utolewaji wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika […]
The post Video ya dakika 10 ya Mbwana Samatta akichukua baraka za waziri wa michezo Nape Nnauye kuelekea Tuzo za CAF appeared first on...
10 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Michuzi05 Jan
Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu...
10 years ago
Bongo503 Nov
Samatta aingia kwenye Top 10 ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika (Based in Africa) 2015

Mchezaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika.
Samatta ambaye pia anaichezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.
Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
Tuzo hiyo...
11 years ago
GPL
Mbwana Samatta amtaja aliyeimaliza Stars
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Marsh Academy yawapongeza Mbwana Samatta, Ulimwengu
KITUO cha kuibua na kukuza vipaji vya vijana wadogo cha Marsh Soccer Academy cha jijini Mwanza, kimewapongeza wachezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa kuonyesha moyo...