Samatta katika orodha ya 3 bora ya CAF
Mbwana Samatta ametajwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza spoka barani Afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Mbwana Samatta aingia orodha ya 3 bora ya CAF
![samatta3-e1437380737934](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/samatta3-e1437380737934-300x194.jpg)
Mshambuliaji wa Taifa Stars ya Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Samatta ametangazwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza soka barani Afrika.
Samatta anashindana na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert Kidiaba.
Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.
CAF...
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Tanzanian Restaurant — Lunch by Chef Issa imetajwa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji ya Trollhättan na Vänersborg
Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwa
Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko...
10 years ago
Vijimambo23 Jun
TANZANIAN RESTAURANT - LUNCH BY CHEF ISSA IMETAJWA KWENYE ORODHA YA MIGAHAWA BORA KATIKA MIJI YA TROLLHÄTTAN NA VÄNERSBORG
![IMG-20150616-WA0008](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150616-WA0008.jpg)
9 years ago
Michuzi05 Jan
Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
![](http://tff.or.tz/images/Samatta.png)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon D’or)
Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.
Na Rabi Hume
Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...
9 years ago
TheCitizen05 Oct
Samatta sends TP Mazembe to CAF final
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Samatta, Ulimwengu watupwa kwa Waarabu CAF
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BAADA ya timu ya TP Mazembe (DRC) wanayochezea Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa itakuwa na shughuli pevu kufika fainali baada ya kupangiwa Waarabu.
Samatta ndiye aliyekuwa chachu ya Mazembe kufika hatua hiyo baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’, wakati miamba hiyo ilipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0 wikiendi iliyopita.
Mabao hayo yalimfanya Samatta kuondoa ukame wa...
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Video ya dakika 10 ya Mbwana Samatta akichukua baraka za waziri wa michezo Nape Nnauye kuelekea Tuzo za CAF
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta aliomba kuonana na waziri wa habari, vijana, wasanii na michezo Mh Nape Nnauye ili kuomba baraka za kuelekea Abuja Nigeria January 7 katika kilele cha utolewaji wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika […]
The post Video ya dakika 10 ya Mbwana Samatta akichukua baraka za waziri wa michezo Nape Nnauye kuelekea Tuzo za CAF appeared first on...