Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
9 years ago
MichuziMWESIGWA KUONGOZANA NA SAMATTA NIGERIA
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu Mkuu...
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO
9 years ago
Dewji Blog04 Nov
Orodha ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Afrika (wanaocheza Afrika)
Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo hiyo anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samata.
Siku moja baada ya Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutangaza majina ya wachezaji kumi watakaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika, hatimaye wametangaza majina ya wachezaji kumi (10) watakaowania tuzo ya mchezaji bora anayecheza Afrika.
Katika orodha hiyo kwa mara ya kwanza Tanzania tumefanikiwa kuingiza mchezaji mmoja, Mbwana Ally Samata anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe...
9 years ago
Habarileo04 Nov
Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.
11 years ago
Michuzi29 Jun
LULU, MILARD AYO, KING MAJUTO WAIBUKA VINARA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO ZA WATU KATIKA HOTELI YA SERENA
9 years ago
Bongo515 Dec
Mbwana Samatta aingia orodha ya 3 bora ya CAF
Mshambuliaji wa Taifa Stars ya Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Samatta ametangazwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza soka barani Afrika.
Samatta anashindana na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert Kidiaba.
Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.
CAF...
9 years ago
Bongo503 Nov
Samatta aingia kwenye Top 10 ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika (Based in Africa) 2015
Mchezaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika.
Samatta ambaye pia anaichezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.
Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
Tuzo hiyo...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
CAF yatangaza majina ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji Bora Afrika 2015
Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo za Caf mwaka huu, Andrew Ayew.
Shirikisho la Soka barani Africa limeyataja majina 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika kwa mwaka wa 2015. Katika majina hayo pia ameorodheshwa mchezaji bora kwa mwaka 2014, Mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Mnachester City.
Kwa upande wa taifa nchi ya Algeria na Ivory Coast yamefanikiwa kuingiza wachezaji wawili kila moja kwa upande wa Algeria wachezaji ambao wameingia katika...