Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ALIPOWATEMBELA MBWANA SAMATTA NA THOMAS ULIMWENGU KINSHASA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK ATETA NA AKINA SAMATTA NA ULIMWENGU KINSHASA

Rais Kikwete akiwa na Mbwana Samatta kulia na Thoams  Ulimwengu kushoto mjini Kinshasa leo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amewatembelea washambuliaji wawili Watanzania wanaocheza TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mbwana Ally Samatta na Thomas Emannuel Ulimwengu. Tovuti ya TPM imeandika kwamba Rais Kikwete aliwatembelea wachezaji hao leo mjini Kinshasa ambako wapo na timu yao kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya DRC dhidi ya mahasimu wao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Marsh Academy yawapongeza Mbwana Samatta, Ulimwengu

KITUO cha kuibua na kukuza vipaji vya vijana wadogo cha Marsh Soccer Academy cha jijini Mwanza, kimewapongeza wachezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa kuonyesha moyo...

 

11 years ago

GPL

Mbwana Samatta amtaja aliyeimaliza Stars

Straika tegemeo katika kikosi cha Taifa Stars, Mbwana Samatta. Na Mwandishi Wetu
STRAIKA tegemeo katika kikosi cha Taifa Stars, Mbwana Samatta, ambaye juzi Jumapili aliiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi ya Zimbabwe, ameibuka na kumtaja aliyewasumbua katika mchezo huo.
Mbwana ambaye anakichezea kikosi cha TP Mazembe cha DR Congo, alisema kiungo wa Zimbabwe, Kudakwashe Mahachi, ndiye alikuwa tatizo kwao.… ...

 

11 years ago

GPL

Thomas Ulimwengu noma, amwaga manoti ukumbini

Mshambuliaji wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu akigawa manoti. Na Issa Mnally
MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DR Congo alionyesha kweli maisha yake sasa ni ya juu baada ya kumwaga fedha kwa wanamuziki wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’. Ulimwengu alifanya hivyo kwenye shoo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar siku ya Boxing Day. Mshambuliaji huyo wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika

samattaNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...

 

9 years ago

Bongo5

Mbwana Samatta aingia orodha ya 3 bora ya CAF

samatta3-e1437380737934

Mshambuliaji wa Taifa Stars ya Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Samatta ametangazwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza soka barani Afrika.

samatta3-e1437380737934

Samatta anashindana na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert Kidiaba.

Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.

CAF...

 

5 years ago

Sports Mole

Galatasaray interested in Aston Villa striker Mbwana Samatta?

Galatasaray interested in Aston Villa striker Mbwana Samatta?  Sports MoleView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Mwananchi

‘Ulimwengu, Samatta kiboko’

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa amewapongeza washambuliaji wakeThomas Ulimwengu na Mbwana Samatta kwa kucheza vizuri licha ya kutopata muda wa kupumzika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani