Thomas Ulimwengu noma, amwaga manoti ukumbini
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox7YFB20iO-C5B4G1S2CIfGMY4q0EYNDuDRsmlu7YM6vLgIE-1F-f-ga3xnSOIfqPw9S1BaSuf*XDMnJc89NzkIO/ulimwengu12.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu akigawa manoti. Na Issa Mnally MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DR Congo alionyesha kweli maisha yake sasa ni ya juu baada ya kumwaga fedha kwa wanamuziki wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’. Ulimwengu alifanya hivyo kwenye shoo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar siku ya Boxing Day. Mshambuliaji huyo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7YHCUMZSAUFMC08ni5sPphno3Ol9WMuwVhPT07Crl-0RhIgCA0EXSMhrwIGchBf50Seb0VJ2789eDkpoxrZ8Qrm/g.jpg)
ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI
11 years ago
Michuzi12 May
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDJ1AxM30qrOZWwQz1EYXtyv-36NrKDLEkQ77thGg8LbPNO122QCUL3kYYR8hUQ6cVRyJi6evvNH8NDeTRp9MpBZ/noma.jpg)
FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Simba wajazwa ‘manoti’
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jWhnAjimDhw/VKK5L9YUPLI/AAAAAAAG6mc/dxWuAztwl6g/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
SHIMUTA, NSSF WAMJAZA MANOTI MJANE WA GURUMO
NSSF ilitoa fedha hizo ikiwa ni juhudi za Shirikisho la Muziki nchini (SHIMUTA), ambapo walimuahidi kumpatia mjane huyo kiasi cha fedha ambacho kitamuwezesha kununua bajaji imsaidie kuendesha maisha yake.
"Mwaka huu mwezi wa tano tulimuahidia mama Gurumo tutamsaidia kusaka fedha kwa wadau mbali mbali tuweze kufanikisha azma yetu ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWSb7RQErnkq9zpizM4EIzniDxjhM1pNAvFeSSvlIUbHgeyE*SPOe-S3I7iwgtPJb9p-1y77q9Yc3R1Vfr8VmdGQ/FRONTAMANI.jpg?width=650)
LULU AWEHUKA UKUMBINI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0CJZ8Pib-vp0mRzHnTGDaK1SyeWaZd6YHgSTiBm42SDZJaMK5IOuNgD6WE2g6-SFBcd0QL12V0MYeaB9fAbbOME/Ray.gif?width=650)
RAY AANGUA UKUMBINI!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Diamond aangua kilio ukumbini!
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39e53RDb2W4APm-9ZMakngVfm-lpTKf9*UIW3ICDURDmwlp3RTlhUGPujfPa25x27pqyCuH-liey1*fNZ23YEJ7z/wolper.jpg?width=650)
WOLPER APIGA MWEREKA UKUMBINI