WOLPER APIGA MWEREKA UKUMBINI
![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39e53RDb2W4APm-9ZMakngVfm-lpTKf9*UIW3ICDURDmwlp3RTlhUGPujfPa25x27pqyCuH-liey1*fNZ23YEJ7z/wolper.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema Mbovumbovu za staa! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe baada ya kuanguka. Kwa mujibu wa ‘shushushu’ wetu aliyekuwa ndani ya nyumba, tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani FM...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-5YwiIyenR*WXZt1Qemr7osUu0XA7AcC2aFYUpapmoZ*F1V3Tx9ABaP9v1o6tRxa1npz-Uf6q55*CwFtVAkq8wzp-mriiom2/Recho.jpg?width=650)
RECHO APIGA MWEREKA KATIKATI YA SHEREHE
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0CJZ8Pib-vp0mRzHnTGDaK1SyeWaZd6YHgSTiBm42SDZJaMK5IOuNgD6WE2g6-SFBcd0QL12V0MYeaB9fAbbOME/Ray.gif?width=650)
RAY AANGUA UKUMBINI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWSb7RQErnkq9zpizM4EIzniDxjhM1pNAvFeSSvlIUbHgeyE*SPOe-S3I7iwgtPJb9p-1y77q9Yc3R1Vfr8VmdGQ/FRONTAMANI.jpg?width=650)
LULU AWEHUKA UKUMBINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LtBD-*cP6YWFP4LGmuRvmOWJPYcZrqynBxzwEH4atM4BWGAb37MkXy9rfx8CnrxMtap1EJ*MxmRjUE4PhYOJ*qi/Slim.jpg?width=650)
SLIM AFUNGASHA SAMBUSA UKUMBINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7YHCUMZSAUFMC08ni5sPphno3Ol9WMuwVhPT07Crl-0RhIgCA0EXSMhrwIGchBf50Seb0VJ2789eDkpoxrZ8Qrm/g.jpg)
ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyAJXU7v1nKG1EUDuOanm2*SPd08WiHCIFqmVgIghUMWEa*3ykTjwtGQRHL3nvMfIpO92rQBScH2gPuNkMuZMqA6f/rayc.gif?width=650)
RAY C AHAHA KUMNASA JK UKUMBINI!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Diamond aangua kilio ukumbini!
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwl68GHtiHBwJADtBNnsWtCEmZ9crlZp3QvA5mU*X5fmxqz2lVEDnh7bZQlfsNKKpD2own-*BT2K6p70-4W1UcvY/lulu.jpg?width=650)
LULU AOGESHWA POMBE UKUMBINI