Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RECHO APIGA MWEREKA KATIKATI YA SHEREHE

Musa Mateja
MREMBO kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho’, amepiga mwereka wa aina yake baada ya kuteleza ukumbini, Risasi Jumamosi limeshuhudia. Tukio hilo lilijiri juzikati katika Hoteli ya Regence, Mikocheni jijini Dar ambapo mrembo huyo alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa (bethidei). Mrembo kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho’. Wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WOLPER APIGA MWEREKA UKUMBINI

Stori:  Hamida Hassan na Imelda Mtema Mbovumbovu za staa! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe baada ya kuanguka. Kwa mujibu wa ‘shushushu’ wetu aliyekuwa ndani ya nyumba, tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani FM...

 

9 years ago

BBCSwahili

Apiga picha katikati ya mbio za magari

Kijana raia wa Uingereza ambaye aliingia katika njia ya magari yakiwa kasi Mahakama ya Singapore imemtupa jela wiki sita jela.

 

10 years ago

Habarileo

Ajenga baa katikati ya makaburi

MKAZI wa Mtaa wa Misufini, Kata ya Nyasa, Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Innocent Mtaro anatuhumiwa kujenga baa katikati ya makaburi.

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda marufuku katikati ya jijin Dar

MADEREVA wa bodaboda mkoani Dar es Salaam wameendelea kubanwa kuingia katikati ya jiji na sasa wameelekezwa mipaka yao na maeneo wanayotakiwa kuishia.

 

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

10 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU 30 KATIKATI YA NIGERIA

Watu wasiopungua 30 wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea karibu na kituo cha basi katika mji wa Jos, ulioko katikati mwa Nigeria.  Walioshuhudia wanasema, bomu la kwanza lilitegwa kwenye kibanda cha kuuzia chakula na la pili karibu na mlango wa kuingilia katika soko la Termus kwenye mji huo. Duru za usalama za Nigeria bado hazijasema milipuko hiyo ya mabomu imesababishwa na kundi gani, lakini kundi la Boko...

 

10 years ago

Michuzi

MTI WAPANDWA KATIKATI YA BARABARA JIJINI DAR

 Kamera yetu imeweza kuinasa taswira hii ya mti uliopandwa katikati ya Barabara ya Sokoine Drive karibu kabisa na lango kuu la kuingia kwenye Kanisa la KKKT Azania Front, Jijini Dar es salaam. hii inaonekana ni namna gani kampeni ya upandaji miti inavyokubalika hapa mjini.Picha na Othman Michuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani