Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTI WAPANDWA KATIKATI YA BARABARA JIJINI DAR

 Kamera yetu imeweza kuinasa taswira hii ya mti uliopandwa katikati ya Barabara ya Sokoine Drive karibu kabisa na lango kuu la kuingia kwenye Kanisa la KKKT Azania Front, Jijini Dar es salaam. hii inaonekana ni namna gani kampeni ya upandaji miti inavyokubalika hapa mjini.Picha na Othman Michuzi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD

Key: 1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
 2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way} 
 3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets} 
 4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
 5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
 6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout} 
 7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA BARABARA JIJINI DAR

Muonekano wa sasa katika hatua za awali za ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba-Tangibovu eneo la GobaUwekaji wa jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba-Tangi BovuUwekaji wa jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya External –KilunguleMbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Dkt. Pombe Magufuli
Babaraba zilizowekewa mawe ya msingi ni pamoja na ile ya Kinyerezi-Kifuru hadi Mbezi Mwisho yenye urefu wa kilometa 14.0,...

 

10 years ago

Vijimambo

BARABARA ZA JIJINI DAR KUENDELEA KUIMARISHWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa Bi.Theresia Mmbando na Naibu Waziri wa Kazi Mh.Makongoro Mahanga (kulia).Meneja wa TANROADS mkoa wa Dar es salaam Muhandisi J. Nyamukama akiteta jambo na baadhi ya wahandisi wa ofisi yake leo jijini Dar es salaam wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara ya mkoa wa Dar es salaam.Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema(kushoto) na...

 

10 years ago

Michuzi

MASHIMOZZZ BARABARA YA MIGOMBANI, MIKOCHENI "A" JIJINI DAR

 Mashimozz katika barabara hii ya Migombani, inayotokea DriveIn (makao makuu ya Zantel) kuelekea Victoria (Kariruki Hospitali) mpaka Makumbusho jijini Dar es salaam, yamekuwa ni kero kwa watumiaji wa njia hiyo, hasa kutokana na ukubwa wa mashimozz yaliyopo kwenye barabara hiyo. huo mpishano wa vyombo vya usafiri hapo pichani, si kwamba unatokana na mbwembwe za madereva, la hasha ni kutokana na namna ya kuyakwepa mashimozz hayo yaliyosheheni katika barabara hiyo. Hivi ndivyo hali ilivyo...

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA JIJINI DAR

Walemavu wakiwa wamekaa barabarani wakati wa maandamano hayo. Wananchi wakitaharuki kufuatia maandamano ya walemavu kuelekea kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hali ilikuwa tete.…

 

11 years ago

Michuzi

Barabara za juu kuondoa tatizo foleni jijini Dar



Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya  awamu ya nne ilipoingia madarakani . Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani