Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodaboda marufuku katikati ya jijin Dar

MADEREVA wa bodaboda mkoani Dar es Salaam wameendelea kubanwa kuingia katikati ya jiji na sasa wameelekezwa mipaka yao na maeneo wanayotakiwa kuishia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kamata kamata ya bodaboda na bajaji katikati ya jiji la Dar na utaratibu kulipia kibali maalum kwa pikipiki binafsi

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri.
Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na makampuni yanayotumia chombo hicho shilingi 500 kwa siku kila bodaboda inapoingia mjini wakidai ni tozo ya...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda watakaofika katikati ya jiji kunyang’anywa leseni

WAENDESHA bodaboda na 'bajaji'ambao watakiuka agizo la kutoingia katika Eneo la Katikati ya Jiji (CBD), watanyang'anywa leseni zao za biashara, kwa kukiuka sheria. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya baadhi ya madereva wanaokiuka agizo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwakyembe: Ushuru bodaboda marufuku

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amesema ni kosa kwa halmashauri kote nchini kukusanya ushuru wa maegesho kutoka kwa madereva wa pikipiki maarufu bodaboda. Dk. Mwakyembe amesema kumekuwa na tabia...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda, bajaj marufuku kubeba mtoto wa miaka 9

KANUNI mpya za uendeshaji usafiri wa pikipiki na bajaj maarufu bodaboda, zimeainishwa zikisisitiza waendeshaji wa vyombo hivyo, kutekeleza masharti, ikiwemo linalokataza kupakia mtoto mwenye umri wa miaka tisa na chini yake. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesisitiza kutumiwa kwa kanuni hizo na kusema mtoto wa umri huo, anapaswa awe na mtu mzima aliyeongozana naye, ndipo apakiwe kwenye vyombo hivyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumatra: Bodaboda, bajaji marufuku ‘Simu 2000’

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imepiga marufuku bajaji na pikipiki (bodaboda) kuegeshwa na kufanya biashara katika kituo kipya cha daladala cha ‘Simu 2000’, kilichopo Ubungo.

 

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge- Magari yanayoingia katikati Dar yatozwe

MBUNGE wa Ilala, Iddi Zungu (CCM), ametaka magari yanayoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, kutozwa fedha ili kudhibiti msongamano wa magari katika jiji hilo na kuepuka watu wenye magari wanaoingia bila kuwa na kazi maalumu.

 

10 years ago

Michuzi

MTI WAPANDWA KATIKATI YA BARABARA JIJINI DAR

 Kamera yetu imeweza kuinasa taswira hii ya mti uliopandwa katikati ya Barabara ya Sokoine Drive karibu kabisa na lango kuu la kuingia kwenye Kanisa la KKKT Azania Front, Jijini Dar es salaam. hii inaonekana ni namna gani kampeni ya upandaji miti inavyokubalika hapa mjini.Picha na Othman Michuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani