Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamata kamata ya bodaboda na bajaji katikati ya jiji la Dar na utaratibu kulipia kibali maalum kwa pikipiki binafsi

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri.
Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na makampuni yanayotumia chombo hicho shilingi 500 kwa siku kila bodaboda inapoingia mjini wakidai ni tozo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kamata kamata bodaboda na bajaji mjini, Jiji lageuza biashara..!

Baadhi ya madereva wa pikipiki wanaozitumia kama vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi kazini wakihoji juu ya mkanganyiko huo katika ofisi za Jiji la Dar es Salaam, juzi. Hata hivyo hawakupata majibu zaidi ya kukut

Baadhi ya madereva wa pikipiki wanaozitumia kama vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi kazini wakihoji juu ya mkanganyiko huo katika ofisi za Jiji la Dar es Salaam, juzi. Hata hivyo hawakupata majibu zaidi ya kukuta tangazo lililositisha upokeaji wa tozo za kuingia mjini na vibali.

Tangazo lililobandikwa na Jiji kusitisha zoezi la ukusanyaji wa tozovibali vya kuingia mjini na pikipiki

Tangazo lililobandikwa na Jiji kusitisha zoezi la ukusanyaji wa tozovibali vya kuingia mjini na pikipiki.

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

WEZI WA KAZI ZA WASANII KUKIONA,KAMATA KAMATA YAANZA RASMI



 Kampuni ya Msama Promotions Ltd,kwa kushirikiana na Wizara ya habari vijana,utamaduni na michezo  imetangaza neema kwa wasanii kuanza zoezi la kuwakamata watu wanaouza nakala feki  za wasanii hapa nchini.
Mkurugenzi wa kampuni hiyo,Bwana  Alex Msama  amesema hayo jijini dar ,kuwa zoezi hilo limekwishaanza, na mpaka  sasa wamekamatwa vijana wane katika mkoa wa Dodoma na watatu jijini Mwanza.
‘’Kuna kazi mbalimbali ambazo zinaibiwa kila kukicha huku wamiliki wa kazi hizo wakiendelea  kushuka...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda watakaofika katikati ya jiji kunyang’anywa leseni

WAENDESHA bodaboda na 'bajaji'ambao watakiuka agizo la kutoingia katika Eneo la Katikati ya Jiji (CBD), watanyang'anywa leseni zao za biashara, kwa kukiuka sheria. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya baadhi ya madereva wanaokiuka agizo hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Vicky Kamata atoa baiskeli 500 kwa wanawake wa mkoa wa Geita

 Katika kutambua na kudhamini juhudi za Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulahman  Kinana katika kukuiimarisha chama Mbunge wa Viti Maalumu  Mhe. Vicky Kamata amejitolea kutoa baiskel 500  kwa wanawake wa Umoja wa Wanawake wa mkoa mzima wa Geita ambapo  Wanawake hao watatumia baiskel hizo kukuiimarisha chama. Pichani Mhe Kamata akipongezwa kwa moyo wake huo Baiskeli alizotoa Mhe Vick Kamata mkoani Geita Mhe. Vicky Kamata akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara mkoani GeitaKatibu...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda marufuku katikati ya jijin Dar

MADEREVA wa bodaboda mkoani Dar es Salaam wameendelea kubanwa kuingia katikati ya jiji na sasa wameelekezwa mipaka yao na maeneo wanayotakiwa kuishia.

 

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani