Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge- Magari yanayoingia katikati Dar yatozwe

MBUNGE wa Ilala, Iddi Zungu (CCM), ametaka magari yanayoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, kutozwa fedha ili kudhibiti msongamano wa magari katika jiji hilo na kuepuka watu wenye magari wanaoingia bila kuwa na kazi maalumu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NIT, TBS kukagua magari yanayoingia nchini

CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kinatarajia kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kukagua magari yanayoingia nchini. Akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mkuu wa Chuo, Dk Zacharia Mganilwa alisema lengo ni kukagua ubora wa magari yanayoingizwa kutoka nchi ambazo hazina wakala wa ukaguzi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Apiga picha katikati ya mbio za magari

Kijana raia wa Uingereza ambaye aliingia katika njia ya magari yakiwa kasi Mahakama ya Singapore imemtupa jela wiki sita jela.

 

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda marufuku katikati ya jijin Dar

MADEREVA wa bodaboda mkoani Dar es Salaam wameendelea kubanwa kuingia katikati ya jiji na sasa wameelekezwa mipaka yao na maeneo wanayotakiwa kuishia.

 

10 years ago

Michuzi

MTI WAPANDWA KATIKATI YA BARABARA JIJINI DAR

 Kamera yetu imeweza kuinasa taswira hii ya mti uliopandwa katikati ya Barabara ya Sokoine Drive karibu kabisa na lango kuu la kuingia kwenye Kanisa la KKKT Azania Front, Jijini Dar es salaam. hii inaonekana ni namna gani kampeni ya upandaji miti inavyokubalika hapa mjini.Picha na Othman Michuzi.

 

9 years ago

MillardAyo

Ommy Dimpoz alivyotukutanisha gorofa ya 21 katikati ya Dar es salaam

Mwimbaji wa bongofleva Ommy Dimpoz aliwakutanisha Watanzania December 18 2015 kwenye gorofa ya 21 katikati ya jiji la Dar es salaam kuwaonyesha video yake mpya inaitwa ‘achia body’ , kutazama ilivyokua unaweza kuplay hii video hapa chini.

The post Ommy Dimpoz alivyotukutanisha gorofa ya 21 katikati ya Dar es salaam appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

FOLENI YANOGA MAENEO YA KATIKATI YA JIJI LA DAR HII LEO

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa jijini Dar, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa msongamano mkubwa la magari kama ionekanavyo pichani hapa katika Barabara ya Azikiwe, kutokea kwenye kipita shoto cha Askari.Picha zote na Othman Michuzi. Mjini leo hakuna kutoka, maana foleni ni kila kona. Azikiwe hiyo.
Mzee wa Feva kaamua kukaa kando, maana hakuna hata anaetaka kumsikiliza.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, YATIWA MBARONI

Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni jijini Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani