MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, YATIWA MBARONI
Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni jijini Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA YATIWA MBARONI
Watuhumiwa hao wanne wa ujambazi wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi. Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti...
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Majambazi yatikisa katikati ya jiji la Dar leo mchana yatiwa mbaroni
Picha ya 1-2 ni mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne.
Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.
Watuhumiwa hao wanne wa ujambazi wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi.
Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa...
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZ......MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR LEO MCHANA, YATIWA NGUVUNI NA JESHI LA POLISI
10 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Watu watano wanusurika katika ajali ya gari katikati ya jiji la Dar es Salaam muda huu!
Pichani ni min bus iliyokuwa na namba T 111 AAL, ikionekana imeharibika kwa mbele baada ya kugongana na gari aina ya Noah yenye namba T446DDJ iliyogongwa ubavuni. Min Bus ilikuwa na watu wanne hata hivyo katika ajali hiyo watu hao walipatwa na mishtuko pekee na maumivu kiasi. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Gari aina ya Noah linavyoonekana ubavuni baada ya ajari hiyo.. iliyotokea katikati ya jiji katika eneo la jirani na Bnki ya NMB House na Shirika la Bima ya Taifa la Afya..
11 years ago
MichuziMABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD
2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}
3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}
4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout}
7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari...
10 years ago
MichuziMNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR
11 years ago
Michuzi10 years ago
GPLAFTER SCHOOL BASH YATIKISA JIJI LA DAR