Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu watano wanusurika katika ajali ya gari katikati ya jiji la Dar es Salaam muda huu!

DSC_4332

Pichani ni min bus iliyokuwa na namba T 111 AAL, ikionekana  imeharibika kwa mbele baada ya kugongana na gari aina ya Noah yenye namba  T446DDJ iliyogongwa ubavuni. Min Bus ilikuwa na watu wanne  hata hivyo katika ajali hiyo watu hao walipatwa na mishtuko pekee na maumivu kiasi. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).

DSC_4357

Gari aina ya Noah linavyoonekana ubavuni baada ya ajari hiyo.. iliyotokea  katikati ya jiji katika eneo la jirani na Bnki ya NMB  House na Shirika la Bima ya Taifa la Afya..

DSC_4349

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATANO WANUSURIKA KUFA KWA AJALI KIMARA, DAR

Gari aina ya Mitsubishi Canter likiwa pembezoni mwa barabara baada ya ajali hiyo. Muonekana wa gari hilo baada ya ajali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari yaua watu watano Hai

Watu watano wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na gari lingine katika Barabara Kuu ya Arusha- Moshi eneo la Kia Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja

Watu watano wa ukoo mmoja wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Songwe, jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe (Sia), Wilaya ya Mbeya Vijijini baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na lori usiku.

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO,JIJINI DAR MCHANA HUU

 Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo kasi.  Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, YATIWA MBARONI

Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni jijini Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne…

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA YATIWA MBARONI

 Picha ya 1-2 ni mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.
 Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi. Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 56 wanusurika ajali ya ndege Dar

>Watu 56 wamenusurika baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Kenya(Kenya Airways) waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam(JNIA) jana ilipokuwa ikitua.

 

10 years ago

GPL

WATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR

Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani. Dereva wa Opa ambaye hakufahamika jina lake mara moja.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani