Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 56 wanusurika ajali ya ndege Dar

>Watu 56 wamenusurika baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Kenya(Kenya Airways) waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam(JNIA) jana ilipokuwa ikitua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR

Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani. Dereva wa Opa ambaye hakufahamika jina lake mara moja.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Watu watano wanusurika katika ajali ya gari katikati ya jiji la Dar es Salaam muda huu!

DSC_4332

Pichani ni min bus iliyokuwa na namba T 111 AAL, ikionekana  imeharibika kwa mbele baada ya kugongana na gari aina ya Noah yenye namba  T446DDJ iliyogongwa ubavuni. Min Bus ilikuwa na watu wanne  hata hivyo katika ajali hiyo watu hao walipatwa na mishtuko pekee na maumivu kiasi. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).

DSC_4357

Gari aina ya Noah linavyoonekana ubavuni baada ya ajari hiyo.. iliyotokea  katikati ya jiji katika eneo la jirani na Bnki ya NMB  House na Shirika la Bima ya Taifa la Afya..

DSC_4349

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAMKE NA MTOTO WAKE WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE


Mwanamke mwenye umri mdogo pamoja na mtoto wake wamekutwa wakiwa hai siku tano baada ya ndege waliokuwemo kuanguka kwenye msitu magharibi mwa Colombia.
Mwanamke huyo Maria Nelly Murillo, 18, na mtoto wake wa mwaka mmoja wamekutwa na waokoaji karibu na ndege hiyo yao ndogo aina ya Cessna iliyoanguka kwenye Mkoa wa Choco.
Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Kolombia ameelezea kuwa kunusurika kwa mama huyo na mtoto wake ni muujiza. Murillo alikuwa na majeruhi na kuungua lakini mtoto wake alikuwa mzima...

 

10 years ago

GPL

WATANO WANUSURIKA KUFA KWA AJALI KIMARA, DAR

Gari aina ya Mitsubishi Canter likiwa pembezoni mwa barabara baada ya ajali hiyo. Muonekana wa gari hilo baada ya ajali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Bilal, Magufuli,Kova wanusurika kifo ajali ya helikopta Dar

>Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilal amenusurika kifo katika ajali ya helikopta iliyoanguka katika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam ilipokuwa ikiruka kwenda kukagua madhara ya mafuriko.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 7 wafariki katika ajali ya ndege N Zealand

Polisi wa New Zealand wanasema kuwa watu wote saba walioabiri ndege iloanguka katika kisiwa cha South Island wamefariki.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU 8 WAFARIKI KWA AJALI YA NDEGE ARGENTINA

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.

Wanne hao wanajumuisha pia wachezaji watatu wasifika nchini humo, walioaga dunia baada ya ndege mbili za Helikopta kugongana angani nchini Argentina.

Wakuu wametaja nyota hao kama bingwa wa nishani ya dhahabu katika uogeleaji kwenye mashindano ya Olimpiki,...

 

11 years ago

Bongo5

Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba

Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine. Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na […]

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani