Bilal, Magufuli,Kova wanusurika kifo ajali ya helikopta Dar
>Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilal amenusurika kifo katika ajali ya helikopta iliyoanguka katika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam ilipokuwa ikiruka kwenda kukagua madhara ya mafuriko.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
GHARIB BILAL, KOVA, SADICK WANUSURIKA KIFO AJALINI
Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said…
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Bilal, Magufuli, Kova waanguka na helikopta
VIONGOZI wanne wa kitaifa, wamenusurika kufa baada ya helikopta waliyopanda kwa ajili ya kukagua na kuangalia athari za mafuriko jijini Dar es Salaam, kuanguka wakati ikitaka kuruka. Helikopta hiyo ambayo...
11 years ago
GPLWAWILI WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA SINZA-MORI
Abiria aliyekuwa kwenye bodaboda ambaye jina lake alikufahamika mara moja.
Bodaboda iliyogongwa ikiwa chini.
Dereva wa lori la mafuta akitoa maelezo kwa askari wa usalama…
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bfbyBD4ZeNQ/VYuukDMJTCI/AAAAAAABBNo/XRO-bQYO0Gw/s72-c/Nd.jpg)
MWANAMKE NA MTOTO WAKE WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-bfbyBD4ZeNQ/VYuukDMJTCI/AAAAAAABBNo/XRO-bQYO0Gw/s640/Nd.jpg)
Mwanamke huyo Maria Nelly Murillo, 18, na mtoto wake wa mwaka mmoja wamekutwa na waokoaji karibu na ndege hiyo yao ndogo aina ya Cessna iliyoanguka kwenye Mkoa wa Choco.
Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Kolombia ameelezea kuwa kunusurika kwa mama huyo na mtoto wake ni muujiza. Murillo alikuwa na majeruhi na kuungua lakini mtoto wake alikuwa mzima...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s72-c/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI
Zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo eneo la mlima nyoka mkoani Mbeya baada ya Basi la Mbukio Mission lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dsm kugongana na Lori .Habari kamili tutawaletea kwenye blog yetu ya mbeya yetu sasa tupo kwenye tukio.Kwa hisani ya MbeyaYetu Blog.![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s1600/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s1600/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zFsJV0XWKWVFlZlYZnQvXorfPlH8Ly-3wiAsDHhFgT*I*03W29TZcqvLAsgWdB8NccL3dqaSryIA-8pDZ74H7b/ajali4.jpg?width=650)
ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MLIMA NYOKA, MBEYA
Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo. Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liliwa…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YhePr6oCv2HdtQyJtRdxhn2i5XafZlqkxBRErlhPwvrbS4c4RYBXQhE9aoIaDaByE9-9z95aFQFke3V-Im*Du7*/09vibaka2.jpg?width=650)
VIBAKA WANUSURIKA KIFO KIJITONYAMA JIJINI DAR
Vijana wawili waliotaka kupora mkoba wa dada mmoja wakiwa hoi kwa kichapo kutoka kwa wananchi. Mmoja wa vibaka hao akiwa mtaroni baada ya kipondo.…
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Watu 56 wanusurika ajali ya ndege Dar
>Watu 56 wamenusurika baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Kenya(Kenya Airways) waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam(JNIA) jana ilipokuwa ikitua.
10 years ago
GPLWATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR
Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani. Dereva wa Opa ambaye hakufahamika jina lake mara moja.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania