NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI
Zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo eneo la mlima nyoka mkoani Mbeya baada ya Basi la Mbukio Mission lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dsm kugongana na Lori .Habari kamili tutawaletea kwenye blog yetu ya mbeya yetu sasa tupo kwenye tukio.Kwa hisani ya MbeyaYetu Blog.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
News Alert: Ajali mbaya ya basi, yaua abiria 12 na kujeruhi vibaya 18 Singida
Pichani ni muonekana upande wa dereva wa basi la Taqbiir lenye namba za usajili T230-BRJ.
Basi la Kampuni ya Taqbiir lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Katoro-Geita, lilipofika kijiji cha Kisonzo, tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida Desemba mosi mwaka huu, majira ya saa moja na nusu liligonga Tenka la Mafuta upande wa kulia wa dereva na kung’oa bati lote na kuua baadhi ya watu papo hapo na wengine walifia njiani wakipelekwa hospitali ya wilaya ya Iramba. (Picha zote na...
10 years ago
Michuzinews alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso
5 years ago
MichuziNjombe:Basi la abiri latumbukia mtoni,Abiria wanusurika kifo
Watu 13 wamenusurika kifo baada ya basi la abiri lenye namba za usajili T 802 DEZ kampuni ya Dosmeza linalofanya safari zake Njombe-Iringa kuacha njia na kutumbukia mto Ichunilo June 11,2020 majira ya saa moja na dakika hamsini,baada ya kumaliza mteremko mkali wa Ruhuji mjini Njombe.
Akizungumza mara baada ya kupokea majeruhi wa ajali,Mganga mfawidhi wa hospitali ya mji wa Njombe (Kibena) Dkt,Alto Damas Mtega,amesema walipokea majeruhi 13 na kuwapa huduma ya...
10 years ago
GPLABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MLIMA NYOKA, MBEYA
11 years ago
Michuzi23 Apr
NEWS ALERT: ZAIDI ya abiria 40 Wajeruhiwa ajalini mkoano Kilimanjaro jioni ya leo
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio,inaeleza kwamba ajali hiyo ilitokea majira ya saa 10 jioni jirani kabisa na kituo cha mafuta kilichopo kando ya barabara ya Moshi-Arusha wakati magari hayo yakijiandaa...
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...
10 years ago
Michuzi01 Jul
NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI
11 years ago
MichuziNews alert: watatu wapoteza maisha zaidi ya 60 wajeruhiwa kwa mabomu kwenye mabasi ya abiria nairobi leo
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kenya Bw. Moses Ombati amenukuliwa akisema kuwa mabomu hayo yamelipuka kwenye mabasi ya abiria mawili tofauti, ambapo Naibu Mkuu wa kitengo cha kutengua Mabomu, Bw, Eliud Lagat amesema milipuko hiyo imetokana na mabomu...