Njombe:Basi la abiri latumbukia mtoni,Abiria wanusurika kifo
Na Amiri kilagalila,Njombe
Watu 13 wamenusurika kifo baada ya basi la abiri lenye namba za usajili T 802 DEZ kampuni ya Dosmeza linalofanya safari zake Njombe-Iringa kuacha njia na kutumbukia mto Ichunilo June 11,2020 majira ya saa moja na dakika hamsini,baada ya kumaliza mteremko mkali wa Ruhuji mjini Njombe.
Akizungumza mara baada ya kupokea majeruhi wa ajali,Mganga mfawidhi wa hospitali ya mji wa Njombe (Kibena) Dkt,Alto Damas Mtega,amesema walipokea majeruhi 13 na kuwapa huduma ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Jan
Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza, ilihusisha basi la abiria lililokuwa na abiria 42, ambalo liligonga kingo za daraja, likaparamia miti miwili kisha kutumbukia ndani ya mto Lukosi, Iyovi eneo la Msosa huko Mikumi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Iringa – Morogoro.
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI

11 years ago
Mwananchi01 Apr
Abiria 29 wanusurika kifo Moro
11 years ago
GPL
ABIRIA WANUSURIKA KIFO WAKISUBIRI USAFIRI
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Abiria 213 wa Ethiopian Airlines wanusurika kifo Arusha
10 years ago
GPL
ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MLIMA NYOKA, MBEYA
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP
Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016. Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha […]
The post Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
9 years ago
Bongo516 Dec
Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto

Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa
Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.
Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.
Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal