ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MLIMA NYOKA, MBEYA
![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zFsJV0XWKWVFlZlYZnQvXorfPlH8Ly-3wiAsDHhFgT*I*03W29TZcqvLAsgWdB8NccL3dqaSryIA-8pDZ74H7b/ajali4.jpg?width=650)
Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo. Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liliwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s72-c/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI
![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s1600/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
11 years ago
GPLWAWILI WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA SINZA-MORI
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bfbyBD4ZeNQ/VYuukDMJTCI/AAAAAAABBNo/XRO-bQYO0Gw/s72-c/Nd.jpg)
MWANAMKE NA MTOTO WAKE WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-bfbyBD4ZeNQ/VYuukDMJTCI/AAAAAAABBNo/XRO-bQYO0Gw/s640/Nd.jpg)
Mwanamke huyo Maria Nelly Murillo, 18, na mtoto wake wa mwaka mmoja wamekutwa na waokoaji karibu na ndege hiyo yao ndogo aina ya Cessna iliyoanguka kwenye Mkoa wa Choco.
Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Kolombia ameelezea kuwa kunusurika kwa mama huyo na mtoto wake ni muujiza. Murillo alikuwa na majeruhi na kuungua lakini mtoto wake alikuwa mzima...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Abiria 29 wanusurika kifo Moro
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsumnu6KL56k39swrccFsHU86Nz5vPN4KbKhAhc4iPayYqvKt3Pf2WH4ZEoz88n1MYPYa3MNnQ7UUz6s8HrCRDDO-/IMG20140812WA0017.jpg?width=650)
ABIRIA WANUSURIKA KIFO WAKISUBIRI USAFIRI
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Abiria 213 wa Ethiopian Airlines wanusurika kifo Arusha
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Abiria 300 wa boti wanusurika ajali ya moto
NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
ABIRIA 300 wamenusurika kufa baada ya Boti ya Royal waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha Unguja kwenda Pemba baada ya boti hiyo mali ya Kampuni ya Ocean Enterprises kuwaka moto ikiwa baharini.
Tukio hilo lilitokea nyakati za mchana katika eneo la Matumbini wakati ikielekea kuwasili katika Bandari ya Mkoani, Kisiwani Pemba.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana kutoka Unguja, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Zanzibar, Omar Maalim alisema ajali...
5 years ago
MichuziNjombe:Basi la abiri latumbukia mtoni,Abiria wanusurika kifo
Watu 13 wamenusurika kifo baada ya basi la abiri lenye namba za usajili T 802 DEZ kampuni ya Dosmeza linalofanya safari zake Njombe-Iringa kuacha njia na kutumbukia mto Ichunilo June 11,2020 majira ya saa moja na dakika hamsini,baada ya kumaliza mteremko mkali wa Ruhuji mjini Njombe.
Akizungumza mara baada ya kupokea majeruhi wa ajali,Mganga mfawidhi wa hospitali ya mji wa Njombe (Kibena) Dkt,Alto Damas Mtega,amesema walipokea majeruhi 13 na kuwapa huduma ya...
9 years ago
Bongo516 Dec
Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto
![20151216043112](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151216043112-300x194.jpg)
Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa
Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.
Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.
Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal