Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto
Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa
Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.
Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.
Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uLtK2PVjqXg/VnE04e6WTaI/AAAAAAAIMsI/cxZ_J47XECI/s72-c/20151216015227.jpg)
NEWS ALERT: MELI YA MV. ROYAL ILIYOKUWA IKITOKEA UNGUJA KUELEKEA PEMBA YANUSURIKA KUWAKA MOJA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-uLtK2PVjqXg/VnE04e6WTaI/AAAAAAAIMsI/cxZ_J47XECI/s640/20151216015227.jpg)
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Abiria 300 wa boti wanusurika ajali ya moto
NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
ABIRIA 300 wamenusurika kufa baada ya Boti ya Royal waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha Unguja kwenda Pemba baada ya boti hiyo mali ya Kampuni ya Ocean Enterprises kuwaka moto ikiwa baharini.
Tukio hilo lilitokea nyakati za mchana katika eneo la Matumbini wakati ikielekea kuwasili katika Bandari ya Mkoani, Kisiwani Pemba.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana kutoka Unguja, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Zanzibar, Omar Maalim alisema ajali...
10 years ago
VijimamboMELI YA MV MAENDELEO YATIA NANGA SALAMA BANDARI YA UNGUJA BAADA YA KUKWAMA KWA MUDA KISIWANI PEMBA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi
Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo.
Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti.
Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo.
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Watu 300 wanusurika kifo wilayani Mwanga
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Abiria 29 wanusurika kifo Moro
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsumnu6KL56k39swrccFsHU86Nz5vPN4KbKhAhc4iPayYqvKt3Pf2WH4ZEoz88n1MYPYa3MNnQ7UUz6s8HrCRDDO-/IMG20140812WA0017.jpg?width=650)
ABIRIA WANUSURIKA KIFO WAKISUBIRI USAFIRI
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Abiria 213 wa Ethiopian Airlines wanusurika kifo Arusha
5 years ago
MichuziNjombe:Basi la abiri latumbukia mtoni,Abiria wanusurika kifo
Watu 13 wamenusurika kifo baada ya basi la abiri lenye namba za usajili T 802 DEZ kampuni ya Dosmeza linalofanya safari zake Njombe-Iringa kuacha njia na kutumbukia mto Ichunilo June 11,2020 majira ya saa moja na dakika hamsini,baada ya kumaliza mteremko mkali wa Ruhuji mjini Njombe.
Akizungumza mara baada ya kupokea majeruhi wa ajali,Mganga mfawidhi wa hospitali ya mji wa Njombe (Kibena) Dkt,Alto Damas Mtega,amesema walipokea majeruhi 13 na kuwapa huduma ya...