Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: MELI YA MV. ROYAL ILIYOKUWA IKITOKEA UNGUJA KUELEKEA PEMBA YANUSURIKA KUWAKA MOJA LEO

Meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba, ilipata hitilafu iliyopelekea kuwakawa moto kwa moja ya Injini zake muda mfupi uliopita, kwa Bahati nzuri Meli ya Mv. Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda unguja ilifika eneo la tukio na kuikuta Meli hiyo na kuanza kutoa msaada wa kuwahamisha abiria waliokuwepo kwenye Meli hiyo na huku shughuli za uzimaji moto na uokozi ikifanyika.Globu ya Jamii inaendelea kufuatilia tukio hilo na tutaendelea kuwajuza hapa hapa.Zoezi la Uokozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto

20151216043112

Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.

20151216043112
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa

Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.

20151216043106

Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.

Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.

20151216043059
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal

20151216043010

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

MELI YA MV MAENDELEO YATIA NANGA SALAMA BANDARI YA UNGUJA BAADA YA KUKWAMA KWA MUDA KISIWANI PEMBA

Meli ya Mv Maendeleo iyokuwa iliyokuwa inataka kwenda Unguja ikitokea Pemba  imekwama kwa muda wa masaa kadha katika eneo la bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba kutokana na kukwama katika fungu la mchanga na kushindwa kuondoka.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, kufuatai tukio la meli ya Mv Maendeleo kukwama katika fungu la mchanga na kushindwa kuondoka asubuhi hadi jioni...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kuwa kuanzia leo tarehe 10 Septemba 2015, na katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi mkuu 2015, watu ambao sio wagombea wa udiwani, ubunge, urais, wasemaji rasmi wa vyama au watu wasioteuliwa na vyama vya siasa kama wawakilishi hawataruhusiwa kushiriki katika vipindi vya moja kwa moja (Live Programmes) vinavyohusu shughuli za uchaguzi vitakavyorushwa na vituo vya utangazaji.


Utaratibu huu unazingatia Kanuni Za Huduma Za...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MIILI YA WATU 14 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA CONGO YAIBUKA KIGOMA, ZAZIKWA NA SREKALI YA TANZANIA

Na Editha Karlo Globu ya Jamii,Kigoma
JUMLA ya maiti 14 zimezikwa baada ya makubaliano baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya Demokrasia ya Congo(DRC)ambapo katika mazishi hayo serekali ya Congo iliwakilishwa na Balozi wa Congo kutoka ubalozi mdogo wa DRC Mkoani Kigoma.
Akizungumza muda mfupi baada ya mazishi ya raia hao Balozi mdogo wa DRC nchini kutoka Ubaozi mdogo Mkoani hapa,Mh. Riki Moleme alisema.

Mh. Maleme alisema kuwa amefarijika sana kwa namna serekali ya Tanzania...

 

10 years ago

GPL

MELI ILIYOKUWA NA WATU ZAIDI YA 450 YAZAMA NCHINI CHINA

Meli ya Dongfangzhixing iliyozama. Shughuli za uokoaji zikifanyika. Kikosi cha Uokoaji kikiwa kazini.…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KOMREDI KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU 15 KISIWANI UNGUJA NA PEMBA LEO.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Vuai Ali Vuai kuelekea kukishiriki upandaji wa mboga mboga na kutia mbolea katika shamba la Wajasiliamali lenye ekari nne na nusu la ushirika wa Jambo Group Cooperative Society,lenye jumla ya washirika wapatao 15,katika kijiji cha Wambaa Kwaanzani,wilaya ya Mkoani ,Kusini Pemba.

Kinana amemaliza ziara ya siku 15 katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar ambapo amekagua na kushiriki ujenzi katika miradi 40 mikoa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA KUHITIMISHA ZIARA YAKE LEO KISIWANI UNGUJA KESHO KUUNGURUMA PEMBA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameongozana na Mwakilishi wa jimbo la Muyuni, Mh.Jakhu Hashim Ayoub wakielekea kwenye mashamba ya zao la Mwani,ambapo pia Ndugu Kinana alishiriki kupanda Mwani na baadhi ya Wakulima wa zao hilo katika kijiji cha Jambiani,jimbo la Muyuni,wilaya ya Kusini Unguja.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishiriki kupanda Mwani na baadhi ya Wakulima wa zao hilo la Mwani katika kijiji cha Jambiani,jimbo la Muyuni,wilaya ya Kusini Unguja,kulia kwake ni...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHOPA YAPIGA MWELEKA LEO NA KUUWA WATU WANNE JIJINI DAR LEO

Sehemu ya mabaki ya Helkopta aina ya Chopa iliyopiga mweleka mapema leo asubuhi maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne waliokuwemo ndani ya Chopa hiyo hiyo wakiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Chanzo cha Chopa hiyo kupiga mweleka bado hakijafahamika mpaka sasa.Sehemu ya Mashuhuda wakiangalia mabaki ya Chopa hiyo.Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia ajali hiyo iliyotokea mapema leo eneo la Kipunguni B,jijini Dar es Salaam.Watu wanne wamepoteza maisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani