Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi
Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo.
Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti.
Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo.
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Hatua kali zichukuliwe majanga ya meli Bahari ya Hindi
9 years ago
Bongo516 Dec
Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto

Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa
Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.
Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.
Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal
11 years ago
GPL
NDEGE ILIYOPOTEA IMEANGUKIA BAHARI YA HINDI
10 years ago
Michuzi08 Dec
KAMANDA WA UJERUMANI AJIVUNIA USALAMA BAHARI YA HINDI

11 years ago
Michuzi
11 years ago
GPLZAIDI YA KILO 200 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN ZAKAMATWA BAHARI YA HINDI
11 years ago
Michuzi.jpg)
DK SHEIN ASHIRIKI UZINDUZI WA MPANGO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA CHANGAMOTO ZAKE MAGHARIBI YA BAHARI YA HINDI
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
CHINA YASEMA IMEONA KITU KATIKA BAHARI YA HINDI KINACHODHANI NI MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA YA MALAYSIA
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Kisiwa cha Zanzibar ni miongoni mwa visiwa vitakavyo potea duniani kutokana na mabadiriko ya tabia nchi ukanda wa bahari ya Hindi!
Mchambuzi wa mambo ya mazingira katika ukanda wa bahari na mwandishi mwandamizi wa habari nchini Kenya, Wanjohi Kabukuru, akielezea jambokwa wandishi wa habari (hawapo pichani) katika warsha hiyo juu ya mazingira
Na Andrew Chale, Nairobi, Kenya
Wataalamu wa kichunguzi na wanasayansi wa Mazingira, wameelezea kuwa visiwa vilivyopo ndani ya bahari ya Hindi vinatarajiwa kutoweka duniani kutokana na mabadiriko ya tabia nchi inayoikumba dunia kwa sasa ikiwemo upungufu wa kimo cha bahari,...