Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatua kali zichukuliwe majanga ya meli Bahari ya Hindi

Matukio ya ajali za Bahari ya Hindi kwa upande wa Zanzibar yamekuwa yakitokea mara kwa mara licha ya ahadi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwamba wanafanya kila aina ya juhudi kuhakikisha katu hayatokei.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi

meli

Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo.

meli 2

Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti.

Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.

Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo. 

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.

Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...

 

11 years ago

GPL

NDEGE ILIYOPOTEA IMEANGUKIA BAHARI YA HINDI

Waziri Mkuu wa Malaysia Najib Razak akitangaza leo juu ya utafiti wa rada kuonyesha kuwa ndege iliyopotea imeangukia katika bahari ya Hindi.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA UJERUMANI AJIVUNIA USALAMA BAHARI YA HINDI

DSC_0001Balozi wa Ujerumani nchini Mh. Egon Kochanke (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakiwamo viongozi mbalimbali wa Serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kwenye hafla maalum ya kuwakaribisha na kuwapongeza wanajeshi wa kikosi cha wanamaji wa meli ya kivita ya Ujerumani FGS Lübeck, inayofanya doria katika ukanda wa Bahari ya Hindi kama sehemu ya jeshi la kimataifa linaloendesha operesheni Atalanta chini ya kamanda Peter Christian Semrau (kulia) iliyofanyika ndani ya meli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama:hatua zichukuliwe dhidi ya Ebola

Rais wa Marekani Barack Obama ametaka dunia kuchukua hatua haraka kupambana na ebola

 

11 years ago

GPL

ZAIDI YA KILO 200 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN ZAKAMATWA BAHARI YA HINDI

Jahazi lililokamatwa na madawa ya kulevya. ZAIDI ya kilo 200 za madawa ya kulevya aina ya Heroin yamekamatwa na kikosi cha polisi wanamaji katika Bahari ya Hindi yakisafirishwa kutokea nchini Irani pamoja na mabaharia kumi na wawili kutoka nchi ya Irani na Pakistani. Kamanda wa polisi kikosi cha wanamaji Mboje Kanga ameeleza kuwa tukio hilo lililotokea usiku wa tarehe 4 majira ya saa sita usiku ambapo waliweza kukamata jahazi...

 

10 years ago

GPL

ZICHUKULIWE HATUA HARAKA KUEPUKA JANGA LA MAFURIKO

Ndugu zangu, tunapaswa kumshukuru Mungu kwa wema wake anaotufanyia kwa kutulinda sisi tulio hai, hivyo basi jina lake lihimidiwe daima. Wiki iliyopita tulishuhudia au kusikia tukio la kusikitisha sana wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambapo vifo vya watu zaidi ya 45 viliripotiwa baada ya nyumba zao kuanguka kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo. Katika tukio hilo lilitokea katika Kijiji cha Mwakata kilichopo...

 

11 years ago

GPL

CHINA YASEMA IMEONA KITU KATIKA BAHARI YA HINDI KINACHODHANI NI MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA YA MALAYSIA

Picha iliyotolewa na vyombo vya habari vya China vikionyesha kitu kipya kilichogunduliwa na satellite za nchi hiyo kikielea katika Bahari ya Hindi ambacho kinahisiwa huenda kikawa na uhusiano na ndege ya Malaysia iliyopotea. Picha za Satellite kutoka kituo cha utafiti cha Marekani kikionyesha eneo ambako msako…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani