KAMANDA WA UJERUMANI AJIVUNIA USALAMA BAHARI YA HINDI
Balozi wa Ujerumani nchini Mh. Egon Kochanke (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakiwamo viongozi mbalimbali wa Serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kwenye hafla maalum ya kuwakaribisha na kuwapongeza wanajeshi wa kikosi cha wanamaji wa meli ya kivita ya Ujerumani FGS Lübeck, inayofanya doria katika ukanda wa Bahari ya Hindi kama sehemu ya jeshi la kimataifa linaloendesha operesheni Atalanta chini ya kamanda Peter Christian Semrau (kulia) iliyofanyika ndani ya meli...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGFXcHR2I0YsCG8PHarDDxhJp20SMzw6xkpQdmkAWq7YS1lcwnISj9WdfCnEYbwyhTQWurFosih8m9c4cfzvlJNs/MH3704.jpg?width=650)
NDEGE ILIYOPOTEA IMEANGUKIA BAHARI YA HINDI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi
Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo.
Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti.
Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AzpNBsRWdkQ/U2edgDQSxPI/AAAAAAAFftg/VpabTnqpQFA/s72-c/11.jpg)
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Hatua kali zichukuliwe majanga ya meli Bahari ya Hindi
11 years ago
GPLZAIDI YA KILO 200 ZA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROIN ZAKAMATWA BAHARI YA HINDI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBLFL3dB9vXgRDziohTBtc2sA9rbvs0zsXHOenR*jKQsvIk9YjnTQ85V5HQz0d4kQXpnyIcwS9uMVNxbvj4B7UX/ndege4.jpg?width=650)
CHINA YASEMA IMEONA KITU KATIKA BAHARI YA HINDI KINACHODHANI NI MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA YA MALAYSIA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GwddrHwCy7k/VAhZKjCDBhI/AAAAAAAGd2Q/e3ud37VJgSs/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
DK SHEIN ASHIRIKI UZINDUZI WA MPANGO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA CHANGAMOTO ZAKE MAGHARIBI YA BAHARI YA HINDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-GwddrHwCy7k/VAhZKjCDBhI/AAAAAAAGd2Q/e3ud37VJgSs/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RQ9a6R4QuFo/VAhZKzXyrgI/AAAAAAAGd2c/QGh6Q0KBlpo/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Kisiwa cha Zanzibar ni miongoni mwa visiwa vitakavyo potea duniani kutokana na mabadiriko ya tabia nchi ukanda wa bahari ya Hindi!
Mchambuzi wa mambo ya mazingira katika ukanda wa bahari na mwandishi mwandamizi wa habari nchini Kenya, Wanjohi Kabukuru, akielezea jambokwa wandishi wa habari (hawapo pichani) katika warsha hiyo juu ya mazingira
Na Andrew Chale, Nairobi, Kenya
Wataalamu wa kichunguzi na wanasayansi wa Mazingira, wameelezea kuwa visiwa vilivyopo ndani ya bahari ya Hindi vinatarajiwa kutoweka duniani kutokana na mabadiriko ya tabia nchi inayoikumba dunia kwa sasa ikiwemo upungufu wa kimo cha bahari,...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Diamond ajivunia vurugu za Ujerumani
MASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amesema vurugu zilizotokea hivi karibuni nchini Ujerumani, haoni kama zimemchafua kwa namna yeyote na badala yake zimempa nafasi ya...