Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond ajivunia vurugu za Ujerumani

MASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amesema vurugu zilizotokea hivi karibuni nchini Ujerumani, haoni kama zimemchafua kwa namna yeyote na badala yake zimempa nafasi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VURUGU UJERUMANI, KUKAMATWA PROMOTA SIRI 7 ZAFICHUKA SHOO YA DIAMOND

Na Shakoor Jongo
SIKU chache baada ya kutolewa kwa taarifa ya kukamatwa kwa promota aliyempeleka msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanya shoo aliyejulikana kwa jina la Awin Williams Akpomiemie, mwenye asili ya Kinigeria, nyuma ya sakata hili siri saba zimefichuka, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili. Mashabiki wenye gadhabu wakilizingira gari la Mbongo Fleva, 'Diamond Platinum'...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA BRITTS EVENT YAELEZEA KIINI CHA VURUGU KWENYE SHOW YA DIAMOND, UJERUMANI

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Britts Event, Awin Williams Akpomiemie. Kampuni ya Britts Event iliyohusika kuandaa show ya Diamond Stuttgart, Ujerumani imeeleza kwa kina kiini cha vurugu kubwa zilizotokea kwenye show hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa huku baadhi ya watu wakijeruhiwa vibaya. Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina kuhusu mzozo uliokuwepo ndani ya kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA UJERUMANI AJIVUNIA USALAMA BAHARI YA HINDI

DSC_0001Balozi wa Ujerumani nchini Mh. Egon Kochanke (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakiwamo viongozi mbalimbali wa Serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kwenye hafla maalum ya kuwakaribisha na kuwapongeza wanajeshi wa kikosi cha wanamaji wa meli ya kivita ya Ujerumani FGS Lübeck, inayofanya doria katika ukanda wa Bahari ya Hindi kama sehemu ya jeshi la kimataifa linaloendesha operesheni Atalanta chini ya kamanda Peter Christian Semrau (kulia) iliyofanyika ndani ya meli...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond azua vurugu nyingine Uingereza

Mwanamuziki Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena usiku wa kuamkia jana alisababisha vurugu kubwa nchini Uingereza baada ya kushindwa kutumbuiza katika ukumbi wa LaFace Club uliopo jijini London.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND MARUFUKU UJERUMANI

Stori: Sifael Paul na mitandao
Kufuatia vurugu zilizoibuka ukumbini alfajiri ya Jumapili iliyopita baada ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kucheleweshwa kupanda stejini kwenye Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart, Ujerumani, mwanamuziki huyo anadaiwa kupigwa marufuku kutia maguu nchini humo. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. SHUHUDA WETU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini mjini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond anusurika kichapo Ujerumani

MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz,’ mwishoni mwa wiki alinusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wenye hasira wakikerwa kuchelewa kwake kupanda jukwaani kutumbuiza, mjini Stuttgart, Ujerumani....

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond azua balaa Ujerumani

Mwanamuziki Diamond Platinum juzi alizua kizaazaa baada ya vurugu kubwa kutokea nchini Ujerumani na kuvuruga tamasha ambalo alitakiwa kutumbuiza, lakini meneja wake amesema tukio hilo litasaidia kumtangaza zaidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond arudi tena Ujerumani

SIKU chache baada ya kushindwa kufanya shoo mjini Stuttgart, nchini Ujerumani, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ ameandaa shoo nyingine nchini humo. Shoo hiyo itafanyika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Promota wa Diamond mbaroni Ujerumani

POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumtia mbaroni promota Awin Williams Akpomie, aliyeratibu shoo ya mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ iliyokuwa ifanyike Agosti 30, mjini Stuttgart na kushindwa kufanyika. Shoo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani