Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VURUGU UJERUMANI, KUKAMATWA PROMOTA SIRI 7 ZAFICHUKA SHOO YA DIAMOND

Na Shakoor Jongo
SIKU chache baada ya kutolewa kwa taarifa ya kukamatwa kwa promota aliyempeleka msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanya shoo aliyejulikana kwa jina la Awin Williams Akpomiemie, mwenye asili ya Kinigeria, nyuma ya sakata hili siri saba zimefichuka, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili. Mashabiki wenye gadhabu wakilizingira gari la Mbongo Fleva, 'Diamond Platinum'...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Promota wa Diamond mbaroni Ujerumani

POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumtia mbaroni promota Awin Williams Akpomie, aliyeratibu shoo ya mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ iliyokuwa ifanyike Agosti 30, mjini Stuttgart na kushindwa kufanyika. Shoo...

 

10 years ago

Bongo5

Promota wa show ya Diamond iliyosababisha fujo Ujerumani adai wawekezaji walimzunguka

Kampuni ya Britts Events iliyokuwa imeandaa show ya Diamond mjini Stuttgart, Ujerumani imetoa maelezo ya chanzo cha kutofanyika kwa show hiyo na pia kuzuka kwa fujo iliyosababisha uharibifu mkubwa kwenye ukumbi uliokuwa utumike. Mwenyekiti Mtendaji wa Britts Events, Awin Williams Akpomiemie Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina katika maelezo ambayo […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond ajivunia vurugu za Ujerumani

MASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amesema vurugu zilizotokea hivi karibuni nchini Ujerumani, haoni kama zimemchafua kwa namna yeyote na badala yake zimempa nafasi ya...

 

10 years ago

Michuzi

FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.

PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...

 

10 years ago

Michuzi

Promoter Britts Events Wafunguka juu ya kAshafa nzito ya kuharibu shoo ya Diamond nchini ujerumani

1384142_505866609511143_1668869613_nAwin Williams Akpomiemie.

MY PEOPLE FIRST OF ALL, I WOULD LIKE TO EXPRESS MY HEART BY TELLING THE GENERAL PUBLIC AND THE FANS OF DIAMOND PLATNUMZ, THAT WE FROM BRITTS EVENTS MANAGEMENT IS VERY SORRY FOR WHAT HAPPENED LAST NIGHT, DURING THE CONCERT OF DIAMOND PLATNUMZ. IT WAS NEVER PLANNED FOR THE CONCERT TO BE DELAYED OR FOR THE ARTIST NOT TO PERFORM. 

HERE I WOULD TELL YOU ALL THE TRUTH OF WHAT REALLY HAPPENED ABOUT THIS EVENT FOR YOU ALL TO KNOW THE TRUTH.

THE PROJECT OF DIAMOND CONCERT...

 

9 years ago

GPL

SIRI NZITO ZAFICHUKA!

Stori: Na Erick Evarist NYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna siri nzito zilizojificha na Amani limechimbua kutoka kwa wahusika. Mastaa wakiwa kwenye vazi lakijani. Hivi karibuni, mastaa mbalimbali akiwemo mwigizaji Aunt Ezekiel na Vincent Kigosi ‘Ray’ waliokuwa wakishabikia Chadema kinachoungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba...

 

10 years ago

Vijimambo

SIRI NZITO ZAFICHUKA TRAFIKI WA MAHABA


Na Ojuku AbrahamBAADA ya kuvuja kwa picha katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita, iliyowaonesha askari wawili wa usalama barabarani wakiwa ‘kimahaba niue’ ndani ya sare za kazi na kusababisha kupoteza ajira zao kutokana na kukiuka maadili, siri zaidi nzito zimezidi kuvuja kuhusiana na ishu hiyo na Amani limemuibua afande wa kike baada ya kumsaka sana.Askari aliyefukuzwa kazi kutokana na kosa la ukiukaji wa maadili, Veronica Mdeme.
Kwa mujibu wa vyanzo makini kutoka wilayani Misenyi mkoani...

 

10 years ago

GPL

SIRI NZITO ZAFICHUKA TRAFIKI WA MHABA

Na Ojuku Abraham
BAADA ya kuvuja kwa picha katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita, iliyowaonesha askari wawili wa usalama barabarani wakiwa ‘kimahaba niue’ ndani ya sare za kazi na kusababisha kupoteza ajira zao kutokana na kukiuka maadili, siri zaidi nzito zimezidi kuvuja kuhusiana na ishu hiyo na Amani limemuibua afande wa kike baada ya kumsaka sana. Askari aliyefukuzwa kazi kutokana na kosa la ukiukaji wa...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA BRITTS EVENT YAELEZEA KIINI CHA VURUGU KWENYE SHOW YA DIAMOND, UJERUMANI

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Britts Event, Awin Williams Akpomiemie. Kampuni ya Britts Event iliyohusika kuandaa show ya Diamond Stuttgart, Ujerumani imeeleza kwa kina kiini cha vurugu kubwa zilizotokea kwenye show hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa huku baadhi ya watu wakijeruhiwa vibaya. Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina kuhusu mzozo uliokuwepo ndani ya kampuni hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani