Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond azua vurugu nyingine Uingereza

Mwanamuziki Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena usiku wa kuamkia jana alisababisha vurugu kubwa nchini Uingereza baada ya kushindwa kutumbuiza katika ukumbi wa LaFace Club uliopo jijini London.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DIAMOND AZUA KIZAAZAA!

Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera UNAZI! Kundi kubwa la vijana wa kike na kiume, mwanzoni mwa wiki iliyopita walizua kizaazaa baada ya kumgombea kumuona kwa karibu na kutaka kuzungumza na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ mara baada ya kumaliza kutumbuiza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli uliofanyika katika Viwanja vya Gymkhana mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto wa Diamond azua jambo!

MAMA-DIAMOND-NA-MTOTOShani Ramadhani

VISA vimeanza! Siku chache baada ya nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata ‘baby girl’ aliyempa jina la Latifah kupitia kwa mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari’ kuna madai kwamba, jina la Latifah limezua mambo, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, baadhi ya wanafamilia wa Diamond hawakubaliani na jina hilo wakitaka kichanga huyo aitwe Sanura, jina la mama Diamond wakiamini kuwa, ndiyo historia ya enzi na enzi, kwamba mtoto...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond azua balaa Ujerumani

Mwanamuziki Diamond Platinum juzi alizua kizaazaa baada ya vurugu kubwa kutokea nchini Ujerumani na kuvuruga tamasha ambalo alitakiwa kutumbuiza, lakini meneja wake amesema tukio hilo litasaidia kumtangaza zaidi.

 

9 years ago

Mtanzania

Diamond azua mjadala mtandaoni

diamond-numzELLY MHAGAMA (TUDARCO)

NYOTA wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platnamuz’, amezua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya kumuunga mkono mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli katika kurasa zake mitandaoni.

Lakini licha ya Diamond kuandika hayo aliomba wachangiaji wasiandike lugha za matusi wakati wa kuchangia mjadala alioanzisha bali aliwataka waandike hoja ili wamshawishi afuate chama chao.

“Msijisumbue kuandika matusi kwa kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu azua gumzo kwenye mtandao baada ya kumuita Diamond "kaka"

Huku macho na masikio ya wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yakiwa kwenye bunge la katiba linalojadili lile sakata la tegeta ESCROW, mwanadada Wema sepetu ameamua naye kuzua gumzo kwenye mtandao baada ya kutoa salamu ya pongezi kwa kijana Naseeb al maarufu kama Chibu dangote ama Diamond platnumz kwa ushindi wake wa tuzo 3 kwenye tuzo za Channel O MUSIC AWARDS zilizofanyika huko Afrika ya kusini akitumia neno KAKA katika sentensi yake kitu ambacho kimezua minong’ono ya hapa na pale...

 

5 years ago

BBCSwahili

Maandamano Uingereza: Zaidi ya watu 100 wamekamatwa baada ya kutokea vurugu jijini London

Polisi walivamiwa na waandamanaji, ambao wengine walikuwa wanaharakati wa mrengo wa kulia baada ya maelfu yao waliokuwa wamekusanyika kusema kuwa wanalinda masanamu yasiharibiwe.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AIBU NYINGINE DODOMA!

Stori: Richard Bukos, Dodoma
KWELI ni aibu nyingine! Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Jumamosi iliyopita alikumbwa na aibu nyingine kufuatia onesho lake kufanyika ndivyo sivyo na hivyo kuzua tafrani miongoni mwa mashabiki wake mjini hapa. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akifanya shoo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge mjini Dodoma. Aibu hiyo ilimkuta staa huyo ndani ya Ukumbi...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria. Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.CREDIT:THECHOICE

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani