DIAMOND AIBU NYINGINE DODOMA!
![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT1XoRSLlgy5oJULAs10VQ8xAtiL-B7LY0hTllB3Vww01OtQOHFdhQHFkXwoEDgGSc2LyZH8XHa9QZDqMZLfeOqn/diamond.jpg)
Stori: Richard Bukos, Dodoma KWELI ni aibu nyingine! Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Jumamosi iliyopita alikumbwa na aibu nyingine kufuatia onesho lake kufanyika ndivyo sivyo na hivyo kuzua tafrani miongoni mwa mashabiki wake mjini hapa. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akifanya shoo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge mjini Dodoma. Aibu hiyo ilimkuta staa huyo ndani ya Ukumbi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo14 Apr
Ahadi ya Matumla, aibu nyingine katika ngumi
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2680202/highRes/988359/-/maxw/600/-/12sduiv/-/matmla.jpg)
Bondia Xin Hua kutoka China (kushoto) akitambiana na Matumla Jr wa Tanzania
Ni michezo ambayo imekosa udhamini wa uhakika na ambayo haijaungwa mkono na serikali kwa kiasi kikubwa kama ilivyo katika mchezo wa soka.
BAADA ya soka, michezo inayoongoza kupendwa na mashabiki wengi nchini ni ngumi, riadha na kikapu.Ni michezo ambayo imekosa udhamini wa uhakika na ambayo haijaungwa mkono na serikali kwa kiasi kikubwa kama ilivyo katika mchezo wa soka.Pamoja na hali hiyo, lakini wenye mapenzi ya...
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Diamond aifutia aibu familia…!
Nyumba ya akina Diamond iliyopo maeneo ya Tandale-Uzuri jijini Dar.
Stori: Mayasa Mariwata na Brighton Masalu
MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameifuta aibu ya familia iliyokuwa ikiwakabili kwa kuamua kuifanyia ukarabati nyumba aliyozaliwa na kukulia, iliyopo maeneo ya Tandale-Uzuri jijini Dar Risasi linaripoti.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Novemba 2, mwaka huu, gazeti la Ijumaa Wikienda liliripoti habari ilionesha kuwa nyumba hiyo ambayo anaishi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWED-46XY0Odv9VYah4wZROJkJAoyuBG*TQqluseP-oFPkwNXuCALzeSOld9s0Q5BQtgFcanytM*bsMGCWprTJ9/jokate.jpg)
JOKATE, DIAMOND WAONEANA AIBU!
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Diamond azua vurugu nyingine Uingereza
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-RdirUdpj-GU/VQQqz4qU7vI/AAAAAAABoQU/kSoNoTY0Yzk/s72-c/AJALI%2B1.jpg)
AJALI NYINGINE YA BASI NA LORI MAPEMA LEO DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-RdirUdpj-GU/VQQqz4qU7vI/AAAAAAABoQU/kSoNoTY0Yzk/s1600/AJALI%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5smf9SginXQ/VQQq1uJOn9I/AAAAAAABoQc/iEIpyVUvWS0/s1600/AJALI%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GEdSntU-xCA/VQQq7A53laI/AAAAAAABoQk/leepMyXIj_s/s1600/AJALI%2B3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s72-c/PLATINUM56.jpg)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s640/PLATINUM56.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CAo4F8KRl5g/VCw9HEWDRJI/AAAAAAAAqSY/jYY1mtktsQc/s640/headies-2014.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HPvsEAtb8H4/VCw9HWzJZQI/AAAAAAAAqSc/4ZNzm7l1xIQ/s1600/headies.jpg)
10 years ago
CloudsFM08 Dec
DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: "Thanks God, we have cheated another one on the...