Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahadi ya Matumla, aibu nyingine katika ngumi



Bondia Xin Hua kutoka China (kushoto) akitambiana na Matumla Jr wa Tanzania 

Ni michezo ambayo imekosa udhamini wa uhakika na ambayo haijaungwa mkono na serikali kwa kiasi kikubwa kama ilivyo katika mchezo wa soka.
BAADA ya soka, michezo inayoongoza kupendwa na mashabiki wengi nchini ni ngumi, riadha na kikapu.Ni michezo ambayo imekosa udhamini wa uhakika na ambayo haijaungwa mkono na serikali kwa kiasi kikubwa kama ilivyo katika mchezo wa soka.Pamoja na hali hiyo, lakini wenye mapenzi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mpambano mkali wa ngumi: Matumla Jr vs Wang Xiu Hua leo usiku Diamond Jubilee

Promota Jay Msangi

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ (katikati) akiwainua mikono juu Wang Xin Hua kutoka China ‘kushoto’  na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana.

..Modewji blog itakuletea kila kinachojiri huko kwenye pambano hilo la kihistoria

Ule mpambano wa ngumi wa kukata na shoka unaosubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa Ngumi nchini ambao utakao wakutanisha  bondia anayetoka kwenye familia ya mchezo huo wa ngumi Nchini, Bondia Mohamed Matumla Junior akitarajiwa kupanda...

 

10 years ago

Vijimambo

Bondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua Jana


Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam na sasa baada ya kushinda atapata nafasi ya kupanda ulingoni Jijini Las Vegas kwenye pamambano la Mayweather na Pacquiao na bondia atakae pangiwa katika mapamabo ya utangulizi siku hiyo ya May 2.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AIBU NYINGINE DODOMA!

Stori: Richard Bukos, Dodoma
KWELI ni aibu nyingine! Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Jumamosi iliyopita alikumbwa na aibu nyingine kufuatia onesho lake kufanyika ndivyo sivyo na hivyo kuzua tafrani miongoni mwa mashabiki wake mjini hapa. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akifanya shoo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge mjini Dodoma. Aibu hiyo ilimkuta staa huyo ndani ya Ukumbi...

 

10 years ago

Michuzi

NGUMI KUPIGWA JANUARY 2, 2015 IFAKARA KATIKA UKUMBI WA MAKUTANO

Na Mwandishi Wetu
MPAMBANO wa ngumi wa kufungua mwaka unatarajiwa kupigwa Ifakara mkoa wa Morogoro  kuhamasisha na kukuza mchezo wa masumbwi nchini. promota wa mpambano huo Hiari Bohari amesema kuwa kwa sasa anataka aendeleze mchezo wa masumbwi Ifakara kwa kuwa watu wapo na mchezo unapendwa.
Alisema siku hiyo ya January 2. 2015 itakuwa ni siku ya kufungua mwaka kwa mpambano wa masumbwi kati ya Abdallah Kilima na Abdul Amwenye huku Saleh Makuka akipambanma na Said Chamaki
Aliongezea pia...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE KATIKA KIPINDI CHA XMASI NA MWAKA MPYA

Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila...

 

11 years ago

Mwananchi

Ahadi hewa katika soka hazitakiwi

Mchezo wa soka siyo siasa. Madhara ya kuchanganya siasa na soka wote tunayafahamu. Soka la Tanzania linapukutika umaarufu kutokana na viongozi kuingiza siasa ndani yake. Mifano iko mingi!

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

9 years ago

MillardAyo

Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na  2009. Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa […]

The post Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani