Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na  2009. Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa […]

The post Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake…

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Jerome Valcke asimamishwe kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka tisa. Katibu huyo anadaiwa kutumia vibaya pesa ikiwemo uuzaji wa tiketi za kombe la duniani lililopita pamoja na kukiuka sheria za Shirikisho hilo. Awali kamati ya nidhamu alimsimamisha katibu huyo kwa […]

The post FIFA kwenye headlines nyingine ya kumsimamisha kiongozi wake… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Kauli ya Scholes ubora wa Rooney kumuweka pabaya

Brazil. Wayne Rooney amesema Paul Scholes anaweza kuwaudhi Manchester United baada ya kudai kuwa kipindi cha ubora cha mshambuliaji huyo wa England kimekwisha.

 

11 years ago

GPL

AMEKUSALITI? BADO MNA NAFASI NYINGINE

MAPENZI yamegeuka shubiri, usaliti na maumivu ya moyo yamegeuka na kuwa sehemu ya kawaida katika uhusiano wa kimapenzi. Zaidi ya asilimia 50 ya wanandoa, wanalia kuwa wanasalitiwa au waliwahi kusalitiwa na wenzi wao, si wanawake, si wanaume. Zipo sababu nyingi zinazosababisha usaliti lakini lengo langu leo siyo kuzungumzia hilo bali ni kujaribu kuiponya mioyo ya wanandoa au watu wanaoishi kwenye uhusiano wa kimapenzi,...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII


Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz 
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA KATIKA UBORA WAKE KATIKA MAJIMBO YA MONDULI NA LONGIDO MKOANI ARUSHA

 Wananchi wakiwa wamejawa hamasa kwa nyimbo na nderemo wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassam, alipowasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni za CCM leo, katika jimbo la Monduli mkoani Arusha.  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, akihutubia wananchi wa kwenye uwanja wa mkutano wa kampeni, eneo Namanga, Longido mkoani Arusha, leoMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasikiliza kina mama waiokuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm: Ninaamini kwenye ubora

YNGNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, Hans Van der Pluijm, amesema hafikirii kuwa kupata mabao mengi katika mechi ndiyo kufanya vizuri, yeye anachokiangalia na kukiamini katika kikosi chake ni ubora, hata kama  watashinda moja kila mechi.

Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi uliyochezwa juzi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani